Hyo ni tabia ya mtu tu... Kuna maskini wakipata wanakuwa mbogo af hawapend mtu awe level zakeNimekuzwa hivyo hasa baada ya kutokea familia maskini mkuu
Mkuu inategemea unaenda kibiashara au kufanya manunuzi ya kawaida. Kwa upande wa manunuzi ya kawaida siwezi kujua matumizi ya mtu. Shida ya Kampala Kuna vitu vizuri sana hasa nguo na viatu kwa First class (special) na second hand. Electronics usinunue achana nazo kabisa kwani Kuna jamaa yangu yamemkuta. Mi niko Bukoba so ni karibu sana hasa suala la nauli sio kubwa. Kuhusu sehemu za kulala ziko kibao. Ukienda kibiashara nakushauri ulale down town hasa hotel au guest houses zilizo karibu na bust terminal kama Namayiba etc. Kama umeenda for shopping ya kawaida sio mbaya pia ukapata hotel downtown pia. Kwa sisi wenyeji kidogo tunafanya shopping Owino markets then tunarudi Kabalagala Pearl Guest House na kabalagala ni nje ya jiji kidogo tu kwa pikipiki kutoka mjini ni nkumi tano tu (5000). Karibu Kampala mkuu.Me nmevutiwa kwenda kuchek aina ya bidhaa zinazopatikana huko... Roughly niandae kiasi gan kwenda, kulala for atleast 2 days na kurudi morogoro
Mkuu kutoka Moro bila kukosea mpaka KLA ni 100000,kama sikosei na Kuna bus la friends linatoka Dar na mengine pia yapo. Kulala kwa siku mbili andaa kama 70000 hivi au 60000 au ukipenda zaidi kulingana na hadhi ya accommodation utakayohitaji. Kwa upande wa nguo, dah miongoni mwa vitu waganda wanapenda ni kuvaa ndio maana biashara ya nguo is everywhere na Kuna mikato ya hatari sana. Yapo maduka yanayouza tu nguo from Turkey, Italy au USA hapa no fakezone. Ukija kwenye mitumba nashindwa kuongea maana Kuna Mall moja nyuma ya Owino kwa upande wa maduka ya chini Kuna baadhi ya maduka yana mtumba ambao bongo hatuna na hatutakuja kuwa nao. Mi na declare interest kwamba second hand clotthes za Kampala hakunaga na special piaMe nmevutiwa kwenda kuchek aina ya bidhaa zinazopatikana huko... Roughly niandae kiasi gan kwenda, kulala for atleast 2 days na kurudi morogoro
Mkuu piga hesabu ya nauli kutoka Mbeya mpaka mwanza na pia mwanza mpaka Kampala. Ila mwanza to Kampala haizidi 40000 sijajua nauli ya kutoka Mbeya mpaka mwanzaMkuu kutoka Mbeya mpaka kampala inaweza kuni gharimu shiling ngap? Naenda kucheck fursa na kugeuka
Nauli ya town kalagabalaa sh ngap?Mkuu inategemea unaenda kibiashara au kufanya manunuzi ya kawaida. Kwa upande wa manunuzi ya kawaida siwezi kujua matumizi ya mtu. Shida ya Kampala Kuna vitu vizuri sana hasa nguo na viatu kwa First class (special) na second hand. Electronics usinunue achana nazo kabisa kwani Kuna jamaa yangu yamemkuta. Mi niko Bukoba so ni karibu sana hasa suala la nauli sio kubwa. Kuhusu sehemu za kulala ziko kibao. Ukienda kibiashara nakushauri ulale down town hasa hotel au guest houses zilizo karibu na bust terminal kama Namayiba etc. Kama umeenda for shopping ya kawaida sio mbaya pia ukapata hotel downtown pia. Kwa sisi wenyeji kidogo tunafanya shopping Owino markets then tunarudi Kabalagala Pearl Guest House na kabalagala ni nje ya jiji kidogo tu kwa pikipiki kutoka mjini ni nkumi tano tu (5000). Karibu Kampala mkuu.
Mkuu na nikifika kampala gharama zinakuaje?Mkuu piga hesabu ya nauli kutoka Mbeya mpaka mwanza na pia mwanza mpaka Kampala. Ila mwanza to Kampala haizidi 40000 sijajua nauli ya kutoka Mbeya mpaka mwanza
Nauli kutoka Dar bila kukosea ni 100000, masuala ya passport nenda Uhamiaji utapata ya mwaka mmoja tudah nimevutiwa sana na thread hii,sijawahi kusafiri nje ya nchi na sijui taratibu za kupata visa sijui paspot kwenda uganda mwenye uelewa naombeni msaada pamoja na gharama ie. nauli kutoka dar,viza na kila kitu