Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Wakuu ukiwa Uganda, hakikisha una hela kwenye simu yako. Mimi nilijikuta nina elfu 10000 tu lakini nikashukuru nilikuwa na hela kwenye NMB mobile ambapo nilii transfer kwenda mpesa then nikaitoa sehemu inaitwa Namayiba Bus Terminal kuna Mpesa pale Kuna dada mkenya hivi na pia ndio nikawajua hawa Smart World Agency ambao wanakusaidia kununua vitu madukani na hata ukitaka wakusafirishie wanafanya hivyo cha msingi piga hesabu ya gharama zote uone kama italipa au lah do in your on way. Uzuri wa hawa Agents wanayajua maduka na pia they can help you bargain it. Yaani hapa kila unachonunua Uganda jaribu kulinganisha na bei ya bongo ndio ununue na usikurupuke
 
Kwa watakao bahatika kwenda Uganda ujaribu kwenda sehemu inaitwa Kabalagala just to have fun, hutajutia kule, tena karibu Pearl Guest House bei Safi tu 41000 per day. Kuhusu chakula Kuna migahawa mingi tu na pia nyama choma za kitaa za kutosha. Mimi huwa nikienda Kampala huwa ni kurudi nakuwa na ongezeko la kilo kutokana na nyama choma.Pia usilewe sana ukiwa ugenini, kunywa kidogo tu for your own safety. Hizi safari mbili nilizoenda huko nimegundua ishu ya frame za biashara kwa Kampala sio ishu kubwa sana kwani Kuna frame nyingi sana hasa kwenye majengo mengi ya ghorofa moja na nimegundua kuwa "every corner of Kampala means Business"
 
Ukitaka muziki na vinywaji pamoja na Ile kitu iliyokatazwa huku kwetu nenda De Posh Pub ambayo iko karibu na Pearl Guest House yaani unakula bata hapa then unalala pale. De Posh Pub is the best pub in Kampala. Kuna totozi za hatari mle ndani, kuna watoto wa kinyankole mule hatari, ila sio kwa chura zile, zile chura sio za East Africa
 
Ikifika Namayiba Bus Terminal, kuna Hotel kama sikosei inaitwa Namayiba Park Hotel iko kwa ghorofa na bila shaka gharama sio kubwa sana maana most of hotels or guest houses in Kampala hazina bei kubwa kivile ila Ile Pearl Guest House ya Kabalagala nayo ina ghorofa afu iko poa Kuna upande wa barabarani Kuna kibaraza unapunga upepo tu ukiangalia madhari ya nje
 
Kama wewe ni mpenzi wa totozi kwa upande wa De Posh Pub usiwe na haraka sana maana mle ndani unaweza jutia badae kwani watoto wazuri huingia kuanzia saa sita au saba usiku na hapo ndio Bata linanoga sana usije jutia kwa kudakwa na toto la uongo afu watoto wazuri ndio wanaingia utakuja kujuta kama mimi first time mle ndani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ila mule nilikutana na watoto kama watatu hivi hataree sana afu walikuwa wanajua mi Mnigeria so shobo zilikuwa nyingi sana. Kitu Nilichopenda De Posh Pub wakijua wewe ni mgeni eneo Lao they treat you as a VIP. Walifanya hivyo kwangu lengo ni kuipaisha Pub. Ile kitu huku imekatazwa kule ipo tena sana na usishangae ukiwa mle unaitumia akaja mtoto mzuri akakusalimia afu aombe umnunulie. Utakutana na akina Mercy, Esther, Alice, Vanessa, Angel na wengine wengi hahahaha
 
Tatizo la ajira Uganda hasa Kampala nalo ni kubwa sana kwani Kuna mtu alinionesha mshikaji ana degree mbili na ni boda boda
3ecb545b7fe2285113becfc3c581389a.jpg
 
Ukitaka kuwa na safari nzuri ya kibiashara au mapumziko kwa Kampala jitahidi uwe na mwenyeji. Kwa upande wa biashara sio lazima uwatumie Smart World Agency la hasha, wapo watz wengi tu ambao wanaijua Kampala vizuri, wanajua maduka etc. Wapo wa tz wengi tu ambao kwa mwezi huenda Kampala mara mbili au zaidi wakitokea DSM, Mwanza etc. Kuhusu Bata it's better uwe na mwenyeji hautajutia pia. WARNING :Usipende kutembea na simu usiku. Jaribu kuwa na akiba ya pesa kwenye account yako ya Mpesa au Airtel money na line yako uihifadhi hotelini ili Ukipata dharura iwe rahisi kwenda Namayiba Bus Terminal pale Kuna Mpesa au ofisi za Friends ambazo haziko mbali na Namayiba bus terminal ambako nako Kuna Mpesa. Shida ya Mpesa ya Friends bus terminal jamaa mara nyingi ofisini hapatatikani tofauti na Mpesa ya Namayiba full. Na ukitaka ku draw pesa kama wewe mtz mjulishe kwanza kwani namba za mawakaka nii tofauti, just tell her mpesa tz
 
Me nmevutiwa kwenda kuchek aina ya bidhaa zinazopatikana huko... Roughly niandae kiasi gan kwenda, kulala for atleast 2 days na kurudi morogoro
Mkuu inategemea unaenda kibiashara au kufanya manunuzi ya kawaida. Kwa upande wa manunuzi ya kawaida siwezi kujua matumizi ya mtu. Shida ya Kampala Kuna vitu vizuri sana hasa nguo na viatu kwa First class (special) na second hand. Electronics usinunue achana nazo kabisa kwani Kuna jamaa yangu yamemkuta. Mi niko Bukoba so ni karibu sana hasa suala la nauli sio kubwa. Kuhusu sehemu za kulala ziko kibao. Ukienda kibiashara nakushauri ulale down town hasa hotel au guest houses zilizo karibu na bust terminal kama Namayiba etc. Kama umeenda for shopping ya kawaida sio mbaya pia ukapata hotel downtown pia. Kwa sisi wenyeji kidogo tunafanya shopping Owino markets then tunarudi Kabalagala Pearl Guest House na kabalagala ni nje ya jiji kidogo tu kwa pikipiki kutoka mjini ni nkumi tano tu (5000). Karibu Kampala mkuu.
 
Me nmevutiwa kwenda kuchek aina ya bidhaa zinazopatikana huko... Roughly niandae kiasi gan kwenda, kulala for atleast 2 days na kurudi morogoro
Mkuu kutoka Moro bila kukosea mpaka KLA ni 100000,kama sikosei na Kuna bus la friends linatoka Dar na mengine pia yapo. Kulala kwa siku mbili andaa kama 70000 hivi au 60000 au ukipenda zaidi kulingana na hadhi ya accommodation utakayohitaji. Kwa upande wa nguo, dah miongoni mwa vitu waganda wanapenda ni kuvaa ndio maana biashara ya nguo is everywhere na Kuna mikato ya hatari sana. Yapo maduka yanayouza tu nguo from Turkey, Italy au USA hapa no fakezone. Ukija kwenye mitumba nashindwa kuongea maana Kuna Mall moja nyuma ya Owino kwa upande wa maduka ya chini Kuna baadhi ya maduka yana mtumba ambao bongo hatuna na hatutakuja kuwa nao. Mi na declare interest kwamba second hand clotthes za Kampala hakunaga na special pia
 
Mkuu kutoka Mbeya mpaka kampala inaweza kuni gharimu shiling ngap? Naenda kucheck fursa na kugeuka
 
Mkuu kutoka Mbeya mpaka kampala inaweza kuni gharimu shiling ngap? Naenda kucheck fursa na kugeuka
Mkuu piga hesabu ya nauli kutoka Mbeya mpaka mwanza na pia mwanza mpaka Kampala. Ila mwanza to Kampala haizidi 40000 sijajua nauli ya kutoka Mbeya mpaka mwanza
 
dah nimevutiwa sana na thread hii,sijawahi kusafiri nje ya nchi na sijui taratibu za kupata visa sijui paspot kwenda uganda mwenye uelewa naombeni msaada pamoja na gharama ie. nauli kutoka dar,viza na kila kitu
 
Mkuu inategemea unaenda kibiashara au kufanya manunuzi ya kawaida. Kwa upande wa manunuzi ya kawaida siwezi kujua matumizi ya mtu. Shida ya Kampala Kuna vitu vizuri sana hasa nguo na viatu kwa First class (special) na second hand. Electronics usinunue achana nazo kabisa kwani Kuna jamaa yangu yamemkuta. Mi niko Bukoba so ni karibu sana hasa suala la nauli sio kubwa. Kuhusu sehemu za kulala ziko kibao. Ukienda kibiashara nakushauri ulale down town hasa hotel au guest houses zilizo karibu na bust terminal kama Namayiba etc. Kama umeenda for shopping ya kawaida sio mbaya pia ukapata hotel downtown pia. Kwa sisi wenyeji kidogo tunafanya shopping Owino markets then tunarudi Kabalagala Pearl Guest House na kabalagala ni nje ya jiji kidogo tu kwa pikipiki kutoka mjini ni nkumi tano tu (5000). Karibu Kampala mkuu.
Nauli ya town kalagabalaa sh ngap?
 
dah nimevutiwa sana na thread hii,sijawahi kusafiri nje ya nchi na sijui taratibu za kupata visa sijui paspot kwenda uganda mwenye uelewa naombeni msaada pamoja na gharama ie. nauli kutoka dar,viza na kila kitu
Nauli kutoka Dar bila kukosea ni 100000, masuala ya passport nenda Uhamiaji utapata ya mwaka mmoja tu
 
Back
Top Bottom