las Casas
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 575
- 720
- Thread starter
- #181
Wakuu ukiwa Uganda, hakikisha una hela kwenye simu yako. Mimi nilijikuta nina elfu 10000 tu lakini nikashukuru nilikuwa na hela kwenye NMB mobile ambapo nilii transfer kwenda mpesa then nikaitoa sehemu inaitwa Namayiba Bus Terminal kuna Mpesa pale Kuna dada mkenya hivi na pia ndio nikawajua hawa Smart World Agency ambao wanakusaidia kununua vitu madukani na hata ukitaka wakusafirishie wanafanya hivyo cha msingi piga hesabu ya gharama zote uone kama italipa au lah do in your on way. Uzuri wa hawa Agents wanayajua maduka na pia they can help you bargain it. Yaani hapa kila unachonunua Uganda jaribu kulinganisha na bei ya bongo ndio ununue na usikurupuke