Kuhusu novoKama ni kuhusu dawa (viuatilifu) achana na Uganda, Waganda wenyewe hununua upande wa Tz ili kuepuka kununua feki.
Kwa Uganda everything is do-able ni wajanja sana wanaweza kukuingiza mjini kama hujui vitu.
Israel ni nchi ndogo sana na isio na rasilimali nyingi lakini wanatumia ipasavyo Fursa kiduchu walizonazo kufanya wonders, Uganda wana fursa chache ila wanazitumia vizuri mno kibiashara.Oyooooo nimerudi wakuu, nina mengi sana kuhusu Kampala, ila kwa biashara jamani waganda wametuacha mbali sana yaani bongo bado sana, kuhusu Bata je? Hahahaha kuhusu Bata la kule dah sirudii tena, bata la Kabalagala(De Posh Pub), Club Ange Noir etc khaa bongo bado sana
Novo ni nini Mkuu?Kuhusu novo
Na wengi waliosona Uganda kichwani hamnazo ila uhuni ndio mwingiSisi Tanzania kibiashara na hata kula Bata bado sana. Jaribu kumuuliza mbongo aliyesoma Uganda hasa miaka hii ya karibuni atakwambia, Uganda nomaa a
Pikipiki nyingi Uganda ni Boxer, spear zipo bei nafuu japo si sana.Ningeomba kujua pia kuhusu pikipiki na spare zake
Saaafi nitumie business card na mmKingine hiyo biashara uchanganye nguo za kike na kiume, za kike ziwe nyingi kuliko za wanaume ambao si wavaaji kama wanawake pia wakopaji wazuri. Usisahau kununua chupi za kisasa hasa cotton, soma mazigira unayouzia kama kuna wadada wanapenda nguo za kimamtoni then waletee hizo. Ngoja nikipata muda takutumia business card za maduka ya nguo Kampala.
Umenena mkuu atuwekeeMkuu Asante Sana umekuwa mtu muhimu sana hapa kwa members kijifunza kitu, itakuwa vizuri kama utatuwekea majina ya maduka ya jumla huko Kampala ili tukienda tusihangaike sana
Asante mkuu naomba unisaidie nauli Mwanza Kampala na namna ya kupata passport ya kusafiliaNguo za special ziko za kumwaga na maduka ni mengi, sema ujanja muhimu. Yapo yanayouza fashion one
Passport nazani nenda Uhamiaji, utapata Ile ya mwaka mmoja ambayo ni shilingi elfu kumi kama sikosei maana na mimi yangu inaisha next week trh 20 so nitaenda kurenew. Kuhusu nauli sikumbuki maana kwa kuanzia Bukoba kwa sasa kwa bus dogo la friends ni 18000 to Kampala. Tafuta Ofisi za bus la friends huko mwanza utapata more details zaidi. Kama Jana wakati nageuza nilipanda bus la Links mpaka Mutukula kwani sikuwa na mizigo mingi.Asante mkuu naomba unisaidie nauli Mwanza Kampala na namna ya kupata passport ya kusafilia
Asante! Ngoja nijipangePassport nazani nenda Uhamiaji, utapata Ile ya mwaka mmoja ambayo ni shilingi elfu kumi kama sikosei maana na mimi yangu inaisha next week trh 20 so nitaenda kurenew. Kuhusu nauli sikumbuki maana kwa kuanzia Bukoba kwa sasa kwa bus dogo la friends ni 180000 to Kampala. Tafuta Ofisi za bus la friends huko mwanza utapata more details zaidi. Kama Jana wakati nageuza nilipanda bus la Links mpaka Mutukula kwani sikuwa na mizigo mingi.
Edit nauli yako mkuuPassport nazani nenda Uhamiaji, utapata Ile ya mwaka mmoja ambayo ni shilingi elfu kumi kama sikosei maana na mimi yangu inaisha next week trh 20 so nitaenda kurenew. Kuhusu nauli sikumbuki maana kwa kuanzia Bukoba kwa sasa kwa bus dogo la friends ni 180000 to Kampala. Tafuta Ofisi za bus la friends huko mwanza utapata more details zaidi. Kama Jana wakati nageuza nilipanda bus la Links mpaka Mutukula kwani sikuwa na mizigo mingi.
18000 au 180000Edit nauli yako mkuu
Mkuu umegusa mkuu, ukweli mtupu.Israel ni nchi ndogo sana na isio na rasilimali nyingi lakini wanatumia ipasavyo Fursa kiduchu walizonazo kufanya wonders, Uganda wana fursa chache ila wanazitumia vizuri mno kibiashara.
Hata hapa Bongo biashara ipo sana tu, na tuna fursa nyingi sana ila shida ni Mimi na wewe. Tuna fursa nyingi sana ila kila siku tunalialia humu JF eti tumemaliza degree hakuna kazi, tena waliosoma ualimu ndo wanajihisi wao ni Almasi kila siku malalamiko, nenda Uganda uone graduates kibao hawana kazi ila wanajaribu kujiajiri wenyewe licha ya kuwa na utawala wanaoulalamikia sana kuliko nchi yoyote East Africa isipokuwa Burundi.
NGUZO ZA UMASIKINI WETU WATZ
NI
1.Uzembe + uvivu, tumekuwa wazembe na wavivu wa kufikiria hadi kufanya kazi.
2. Kukosa umoja na Ushirikiano, Uganda ni kawaida kabisa watu watatu kupanga chumba kimoja na kila mtu akaweka biashara yake na wakashare kodi ya pango. Sisi hapa Tz vijana wangapi tunaweza kupanga Fremu pale Kariakoo??
Itaendelea......
Hahahaha kuna ukweli flani hapa, nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu, story mbili au Tatu ataanza story za Club Ambiance, Ange Noir, Silk Club [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Na wengi waliosona Uganda kichwani hamnazo ila uhuni ndio mwingi