Israel ni nchi ndogo sana na isio na rasilimali nyingi lakini wanatumia ipasavyo Fursa kiduchu walizonazo kufanya wonders, Uganda wana fursa chache ila wanazitumia vizuri mno kibiashara.
Hata hapa Bongo biashara ipo sana tu, na tuna fursa nyingi sana ila shida ni Mimi na wewe. Tuna fursa nyingi sana ila kila siku tunalialia humu JF eti tumemaliza degree hakuna kazi, tena waliosoma ualimu ndo wanajihisi wao ni Almasi kila siku malalamiko, nenda Uganda uone graduates kibao hawana kazi ila wanajaribu kujiajiri wenyewe licha ya kuwa na utawala wanaoulalamikia sana kuliko nchi yoyote East Africa isipokuwa Burundi.
NGUZO ZA UMASIKINI WETU WATZ
NI
1.Uzembe + uvivu, tumekuwa wazembe na wavivu wa kufikiria hadi kufanya kazi.
2. Kukosa umoja na Ushirikiano, Uganda ni kawaida kabisa watu watatu kupanga chumba kimoja na kila mtu akaweka biashara yake na wakashare kodi ya pango. Sisi hapa Tz vijana wangapi tunaweza kupanga Fremu pale Kariakoo??
Itaendelea......