Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Ili mradi mzigo ufike mkuuInakubalika na serikali au ni ujanja ujanja tu ili mradi mzigo ufike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mradi mzigo ufike mkuuInakubalika na serikali au ni ujanja ujanja tu ili mradi mzigo ufike?
Mkuu huwezi amini kuwa Waganda bei za jumla hufanana maduka yote isipokuwa kama nguo zinatofautiana. Ila kumbuka Watanzania tunapendwa sana na kiswahili chetu wanakifukuzia sana (wanakipenda) japo wanalaumu ni kigumu kuliko eti kiswahili cha Congo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], sasa fikiria kama Congo kuna kiswahili hukoAsante sana mkuu. Unapokua unachagua hizo piece by piece ku bargain kupo kama hapa bongo au ni style ya super market?
Nishalijibu hili hapo juuKuehusu hili labda mkuu Ng'wanapagi anaweza akatusaidia kutupatia actual kama sio estimations
[emoji15] [emoji15] duh! Unasenaje?? Hapana chezea Uganda, aliyekwambia alikudanganya sana mm ni mziefu sana. Sema Mganda ni mwerevu sana katika biashara. Halafu usije ukathubtu kununua electronic Uganda.Huko naskia ni balaa... Eti dar haikamati hata kidogo kwenye biashara..kuna mtu nilikua namshangaa anatoka dar kwenda kuchkua mzigo kampala...yeye ndo akanishangaa zaid..ipo cku ntaenda kujionea... Naskia hawana mabidhaa feki kama bongo..halafu fashion mpya znaanzia kule eti
We hukulipa kodi, ila ulitoa rushwa mzigo ukilipiwa Mutukula hulipi Kyaka.Unapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja.. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula![]()
Mule Mule ukigoma hapo wnashusha mzigo kwa kigezo umenunulia mzigo njiani baada ya kutoka Mtukula . Uliza wafanyabiashara wote waliopita hapo Kyaka kwa hayo mabasi ya Kampala.We hukulipa kodi, ila ulitoa rushwa mzigo ukilipiwa Mutukula hulipi Kyaka.
Kaka me naelewa vizur sana maana ni mwenyeji sana. Ukilipa Tax Mutukula unapewa risit, ukiwa na risiti hapo ndo unelipa kodi halali hutadaiwa tena. Ila wengi hulizwa na wale watumishi wasio waaminfu.Mule Mule ukigoma hapo wnashusha mzigo kwa kigezo umenunulia mzigo njiani baada ya kutoka Mtukula . Uliza wafanyabiashara wote waliopita hapo Kyaka kwa hayo mabasi ya Kampala.
kapicha ka kitambo haka, huo mjengo ushakuwa musuri sanaUnapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja.. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula![]()
Mahali pakevipi kuhusu stationary products huko kampala? @ ng'wnapagi
Musuri!!! Nilikuweko two months pastkapicha ka kitambo haka, huo mjengo ushakuwa musuri sana
sijakuelewe fafanuaMahali pake
Duuh ng'wanapagiUnapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja.. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula![]()
Wakati naaza kufika Kampala nilikuwa nakoswakoswa kugongwa na bodaboda sababu ya kuchungulia makalio ya watoto wa Kinyankole baadae nikaona isiwe shida sana................Sijawahi fika ila niko na jamaa zangu walisoma huko. Wanasimulia watoto wa kule wanapenda sana starehe alafu wanapenda sana vijana wa ki-tz!
maji/serum hutumika kuchanganya na hiyo Cream ili ubadiri colour ya ngozi,ni hatari sana kiafya lkn kwa vile unataka pesa hata mimi nilikuwa nazileta sanaMkuu sijakusoma hapo kwenye maji yake umemaanisha nini hasa. Tuelekezane tafadhari
hahahahaha... mkuu Ng'wanapagi mbona.... kwanini hukumalizia au ukaamua uvute ndani mmoja wao? Ni ushauri namna ya kupambana na changamoto za UgandaWakati naaza kufika Kampala nilikuwa nakoswakoswa kugongwa na bodaboda sababu ya kuchungulia makalio ya watoto wa Kinyankole baadae nikaona isiwe shida sana................