Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli kubwa kiasi mkuu TUMBOO mpaka ikawa kikwazo cha kupiga hela?nguo,kama gaun kule unanunua 25000 0r 30000 ikizidi sana 50000 ya kiganda ambapo ukibadirisha kwa hela ya ki tz ni hela ndogo sana viatu original vya wanaume kwa wanawake kule ni bei chee sana yaaan ingekua sio naul kubwa kule mtu inapiga sana hela
Hii kitu sijawahi hata kuitamani hivyo hata sifahamu raha yake.Shisha mkuu [emoji125]
Hahahahahahaha... haya mkuu @Ias CasasZile chura za kipekee sana
tatizo usawa wa anko magu sio ....tra wanabana sana pale+naul go and return 200000+hotel hapo bado mzigo ila ukiwa na 2 or 3 milions unapiga hela...japo raha ya uganda uende na kuanzia million 3 kwenda mbele ndio utapiga faida.....Nauli kubwa kiasi mkuu TUMBOO mpaka ikawa kikwazo cha kupiga hela?
Sh. 1,500,000/= kama unafanyia biashara nje ya kanda ya ziwa,naamanisha ukiwa unatoka mikoa ya Dar,Arusha,Tanga n.k. Ukiwa mikoa ya kanda ya ziwa sh. 900,000/= unaweza kuanzia sababu umbali na mahitaji katika safari hayalingani na yule anayetokea mfn Dar.Mkuu samahani eti hivi unaeza ukaanza na mtaji wa sh ngapi kwa kuleta Nguo hapa kutoka UG?
Hahahaaaa!!! sehemu hiyo hapo chini ndipo nilianza kujifunzia kula mirungi, Mkenya mmoja alinipatia na big GWadau ambao mko Kampala plz sogeeni hapa Grand Imperial Restaurant tupate ghahawa
Ng'wanapagi naomba chukua no angu tuchekiane niko dar 0656378005Hahahaaaa!!! sehemu hiyo hapo chini ndipo nilianza kujifunzia kula mirungi, Mkenya mmoja alinipatia na big G
Mkuu vipi ulisafiri kwenda ugandaSafari hii ni ya kuangalia mazingira tu, niko Bukoba kwa hiyo kufanya safari nyingne itakuwa muda wowote. Kikubwa ni mtumba pamoja na nguo za special
Nilifuata mzigo kidogo wa kabla ya Xmass,kwa hali niliyoikuta Mtukula hasa TRA..............!!!!!! lkn kwa sasa niko SA North ProvinceMkuu vipi ulisafiri kwenda uganda