Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

nguo,kama gaun kule unanunua 25000 0r 30000 ikizidi sana 50000 ya kiganda ambapo ukibadirisha kwa hela ya ki tz ni hela ndogo sana viatu original vya wanaume kwa wanawake kule ni bei chee sana yaaan ingekua sio naul kubwa kule mtu inapiga sana hela
 
Nauli kubwa kiasi mkuu TUMBOO mpaka ikawa kikwazo cha kupiga hela?
 
Nimefika Geita, week mbili zijazo na mie naenda huko
 
Dhaaaa!!! Na mm nijjkakamue nitoke niende huko
 
Wadau ambao mko Kampala plz sogeeni hapa Grand Imperial Restaurant tupate ghahawa
 
Mkuu samahani eti hivi unaeza ukaanza na mtaji wa sh ngapi kwa kuleta Nguo hapa kutoka UG?
Sh. 1,500,000/= kama unafanyia biashara nje ya kanda ya ziwa,naamanisha ukiwa unatoka mikoa ya Dar,Arusha,Tanga n.k. Ukiwa mikoa ya kanda ya ziwa sh. 900,000/= unaweza kuanzia sababu umbali na mahitaji katika safari hayalingani na yule anayetokea mfn Dar.
 
Back
Top Bottom