daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
- Thread starter
- #21
NAMBA NI 0629706263. KARIBU UJIPATIE USAJILI WA BIASHARA YAKO, KAMPUNI, LESENI NA VIBALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka ufanye kila kitu kwenye kampuni utaona uendeshaji wake mgumu, outsource mkuu mambo yanakaa sawaUsajili wa kampuni ni rahisi sana,ila undeshaji.ndio mgumu kuoita maelezo
MASWALIKuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni:
1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia kuweka mipaka ya kisheria kati ya biashara yako na masuala yako binafsi.
2. Ushirikiano wa kisheria: Kampuni ina uwezo wa kuwa na uwepo wa kisheria tofauti, kwa hiyo ina uwezo wa kufanya kazi kama mtu binafsi. Hii inamaanisha kuwa kampuni ina haki, wajibu, na uwezo wa kufanya mikataba, kuleta mashtaka, na kubeba madeni yake.
3. Ukuaji na uwekezaji: Usajili wa kampuni unaweza kusaidia kuvutia wawekezaji na kukuza biashara yako. Inaweza kuonyesha uwezo wako wa kuongezeka na kudumisha uwepo wako katika soko. Pia, kampuni ina uwezo wa kupata mtaji kwa njia ya uuzaji wa hisa au kukopa.
4. Uadilifu wa biashara: Kusajili kampuni kunaweza kuongeza uaminifu na uaminifu kwa wateja, washirika wa biashara, na wadau wengine. Inaweza kuonyesha kwamba una nia ya muda mrefu katika biashara yako na una kufuata miongozo na kanuni za biashara.
Ni vyema kushauriana na wataalam wa kisheria au uchumi ili kuelewa vizuri taratibu za usajili wa kampuni na jinsi faida hizi zinavyoweza kuhusiana na hali yako ya biashara.
Kwa msaada kuhusiana namasuala ya usajili BRELA iwe ni kampuni au jina la biashara wasiliana nasi kupitia namba 0629706263
Nasubiri jibuMASWALI
1. Inahitajika kiasi gani kuanzisha kampuni?
2. Kodi Kwa hiyo 30% ni Kwa makampuni hata madogo?
3. Ni zipi athari za kufungua kampuni bila ya kusajili?
4. Kuna tofauti gani kati ya usajili wa biashara na usajili wa kampeni?
1. Kiasi kinachohitajika kuanzisha kampuni Tanzania kinaweza kutofautiana kulingana na aina ya kampuni na mtaji wa kuanzisha.MASWALI
1. Inahitajika kiasi gani kuanzisha kampuni?
2. Kodi Kwa hiyo 30% ni Kwa makampuni hata madogo?
3. Ni zipi athari za kufungua kampuni bila ya kusajili?
4. Kuna tofauti gani kati ya usajili wa biashara na usajili wa kampuni?
babukatunz1. Kiasi kinachohitajika kuanzisha kampuni Tanzania kinaweza kutofautiana kulingana na aina ya kampuni na mtaji wa kuanzisha.
gharama za brela zinaangalia mtaji
usiozidi 1m ni 167k
usiozidi 5m ni 247k
usiozidi 20m ni 322k
usiozidi 50m ni 362k
50m and above ni 512k
2.Kodi ya 30% Kwa profit ni kwa kampuni zote za ndani
3. Kufungua kampuni bila usajili kunaweza kuwa na athari mbaya, kama vile kushindwa kupata ulinzi wa kisheria na mikataba, kukosa fursa za kibiashara, na kuwekwa katika hatari ya kisheria. Kusajili kampuni kunahakikisha kwamba biashara yako inazingatia sheria na inalindwa kisheria.
4. Jina la biashara linaweza kutumika na wafanyabiashara binafsi au wamiliki wa biashara ndogo.
Hili ni jina ambalo unalitumia kuitambulisha biashara yako.
Linaweza kuwa jina lako binafsi au jina unalolichagua kwa biashara yako.
Inaweza kusajiliwa katika ofisi ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ili kuilinda na kuitambulisha kisheria.
Kampuni (Company)
Kampuni ni aina ya biashara inayojitegemea kisheria na inayoshiriki katika shughuli za biashara kwa niaba ya wamiliki wake.
Ina taratibu na wajibu wa kisheria unaohitaji usajili rasmi kwa BRELA..
Kampuni ina utambulisho wake wa kisheria na inaweza kujitegemea kifedha na kisheria kutoka kwa wamiliki wake.
Kwa ufupi, jina la biashara linaweza kutumika na wafanyabiashara binafsi au biashara ndogo, wakati kampuni ni aina ya biashara inayojitegemea kisheria na inahitaji usajili rasmi.
Mfano ipo iyo 2M na tupo watu wawili tunaotaka kufungua company ni taratibu zipi tunatakiwa kuzifata?fungua ya 2mil uliyo nayo mkuu, hiyo ya 50m itakuongezea liability kubwa sana kwa nyie wamiliki mambo yakienda kushoto, sababu kiuhalisia hauna, anza mdogo mdogo kampuni hukua boss ukiipata hiyo 60m utaupdate TU brela
Habari, kampuni ni mjumuiko wa watu wawili au zaidi wenye nia ya kufanya biashara halali na kuusajili mjumuiko huo chini ya Sheria ya kampuni, aina za kampuni kampuni inaweza kuwa kampuni ya kigeni,kampuni binafsi au kampuni ya umma, kwa upande wa jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu, hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara, mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments. Baada ya kukamilisha usajili utatakiwa kufanya maombi ya leseni ya biashara kutokana na aina ya biashara ambayo unahitaji kufanya.1. Tofauti kati ya usajili wa Jina la biashara na usajili wa kampuni ni ipi
2. Je, mtu anaweza kusajili jina la biashara na kuanza kufanya biashara?
3. Je, mnaweza kushirikiana watu wawili katika kufanya biashara Kwa kuwa na usajili wa Jina Moja la biashara?
Asante Kwa UfafanuziHabari, kampuni ni mjumuiko wa watu wawili au zaidi wenye nia ya kufanya biashara halali na kuusajili mjumuiko huo chini ya Sheria ya kampuni, aina za kampuni kampuni inaweza kuwa kampuni ya kigeni,kampuni binafsi au kampuni ya umma, kwa upande wa jina la biashara ni utambulisho wa biashara fulani inayofanywa na mtu au kikundi cha watu, hivyo mtu mmoja au kikundi cha watu wasiozidi 20 wanaweza kusajili jina la biashara, mfano wa majina ya biashara ni Ali Entreprises, Rose Beauty Salon au John Urassa Investments. Baada ya kukamilisha usajili utatakiwa kufanya maombi ya leseni ya biashara kutokana na aina ya biashara ambayo unahitaji kufanya.
Ahsante nawe pia, karibu tena.Asante Kwa Ufafanuzi
Utakuwa umewasaidia pia zaidi wateja wako ukiwaelekeza namna rahisi ya kuwa na ukurasa wao binafsi wa website mtandaoni.
Chief nna swali,Ahsante nawe pia, karibu tena.
1. Kwenye kusajili kampuni hatua ya mwanzo oabisa inatakiwa TIN ila kwenye tin naona pako blank nafanyaje?Ahsante nawe pia, karibu tena.
1. Hiyo nafasi ya Tin haijazwi sasa, brela wao wenyewe wata assign number ya usajili wa kampuni Yako baada ya maombi hiyo pia ndo itakuwa tin Yako ya kampuni1. Kwenye kusajili kampuni hatua ya mwanzo oabisa inatakiwa TIN ila kwenye tin naona pako blank nafanyaje?
NB: Nishaweka taarifa za NIDA.
2. Name reservation inafanyake kazi?
3. Name similarity inatakiwa iwe ngapi ili ikubalike? 30% 10% au?
4. Kampuni inagakiwa iwe na director wawili, je mmoja wa hao madirector anaweza kuwa secretary?
process ni zile zile kama anasajili local company sema atatumia passport ,.lkn kama anasajili foreign company ndiyo kunamanadiliko ya procedureKwa Asiye na uraia wa Tanzania process z inakuwaje?