faiza zuwer
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 400
- 169
haya ngoja waje wa Lumumba mtakoma.Font fed/front page
Bethidei MkuuWajuzi mnieleweshe,birthday inavyotamka ni ba au be?
baba, baba naniliu, baba baba eh, naniLiu.....Halafu wewe mkorofi.Haya maneno si alikosea baba nanili?
Nashukuru kwa kunielimisha mkuuBethidei Mkuu
Eeh kumbe! Asante sanaHivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Shukrani sana mkuu
frying....Hiyo ya flampeni inaniacha hoi kwani mpaka kwenda secondary nikajua kumbe ni fraying pan. Mtu anasema kwa sauti kubwa nyumba yangu ni self-container, ama kweli.
Cooperative and Rural Development Bank..CRDBHapo kwa CRDB umeingia cha kike... Ile ni CRDB bank na wala sio CRD Bank "CRDB" imesimama kama jina na wala sio initials.
Yes inaitwa connected speechHapa kwenye simu=mobile phone nazani ni chaka...maana hilo neno ni neno rasmi la kiswahili lenye maana ya kifaa cha mawasiliano,tuna simu za mkononi,mezani,upepo na simu za barua! kwa hiyo neno "sim" (simu) kwa maana ya chip kwa kiswahili limebeba kila kitu ikiwemo hiyo device yenyewe(mobile phone)
hapo kwenye short time = show time...hawakosei sema wewe uliyeandika ndo umekosea kwa kuzani wanamaanisha hiyo "show" kinachofanyika katika hilo neno ni kwamba watamkaji wanadrop tu letter "t" ya mwanzo coz kimatamshi inabebwa na letter "t" ya pili kwenye neno time...hii katika lugha ya kiingereza inakubalika kabisa I think wanita connected speech/words (am not sure)
Inatamkwa Baath deiBethidei Mkuu
Hajakuelimisha, amekuoteza. Haitamkwi beth, bali inatamkwa bathNashukuru kwa kunielimisha mkuu
English yenyewe ni ya muingerezaBath or Beth yote sawa tu inategemea english ya wapi ilizoeleka kwa kutamka hiyo birth