Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Bath or Beth yote sawa tu inategemea english ya wapi ilizoeleka kwa kutamka hiyo birth
 
hamna neno lililotamkwa kimakosa bali maneno hayo yametoholewa kutoka kiingereza kwenda kiswahili
 
Hapa kwenye simu=mobile phone nazani ni chaka...maana hilo neno ni neno rasmi la kiswahili lenye maana ya kifaa cha mawasiliano,tuna simu za mkononi,mezani,upepo na simu za barua! kwa hiyo neno "sim" (simu) kwa maana ya chip kwa kiswahili limebeba kila kitu ikiwemo hiyo device yenyewe(mobile phone)



hapo kwenye short time = show time...hawakosei sema wewe uliyeandika ndo umekosea kwa kuzani wanamaanisha hiyo "show" kinachofanyika katika hilo neno ni kwamba watamkaji wanadrop tu letter "t" ya mwanzo coz kimatamshi inabebwa na letter "t" ya pili kwenye neno time...hii katika lugha ya kiingereza inakubalika kabisa I think wanita connected speech/words (am not sure)
Yes inaitwa connected speech
 
Back
Top Bottom