Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Shokushoba =shock absober
 
There's no "be" toa nta kwa masikio usikie vizuri
Kwa received pronounciation huwezi kusikia be, sijui english ya wapi unayoongea, English halisi United Kingdom, labda dirty english ndio inatamkwa be tena may be germany na nchi nyingine sio Uk.
 
Wanaoshangaa "CRDB Bank PLC", wangeanza kwanza kuwashangaa "PPF Pensions Fund" na mwenziwe "LAPF Pensions Fund" maana hawa wawili ni wa karibuni zaidi (ingawa wanaenda "kufa").

Inashangaza, zama hizi za "gugo na intaneti" mtu anabishana mpaka mishipa inamsimama.... anashindwa kujiongeza kidogo tu kufanya utafifi kidogo tu kwenye mtandao?

Ni mada nzuri, ingefaa sana kwa walimu kwani wanayo nafasi kubwa ya kuelimisha.
 
Labda masikio yangu yana matatizo!
Pia, Pronunciation is the way in which a word is pronounced.
Nambie kuhusu received pronounciation ambayo ndio english sahihi ile anayo ongea Queen mwenyewe pamoja na watu wake wa England, Scotland, Northern Ireland na Wales.
 
Plate number badala ya number plate
 
Sakaveta badala ya excavator
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nafahamu kuwa received pronunciation ni standard form kwa kutamka Kiingereza.
Sifahamu kuwa English sahihi ni received pronounciation!
Ndio uelewe kuanzia leo, kwani tukiongelea English Tunamaanisha lugha gani? Najua jibu ni Kiingereza, na kama Tukiongelea kiingereza tunamkusudia nani? Najua jibu ni mwingereza, Sasa mwingereza ni nani? Najua jibu ni mtu kutoka katika nchi za United Kingdom {England, Scotland, Wales na Northern Ireland}. Sasa hao wote wako chini ya Queen Elizabeth. Na Queen mwenyewe ndio anaongea Received Pronunciation.
 
Huitaji tochi kuelewa ufafanuzi huu,siongezi wala kupunguza neno,IMEJITOSHELEZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…