Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewa

Uko sahihi mkuu ni beep,,, watu huwa wanasema deep hahahahahaha
 
Hahahahahah basi iwe ivi, ibakie kua missed call kwa mpigiwaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Ahaaa wewe mkuu, huwazi siku mtu anakupigia, naww umeweka auto nambaya simu umeweka bila mlio wala kutetema .

Si ndo mwanzo wa siri kusikilizwa na mtu ambaye ahusiki??

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Safi sana mkuu. Umenipa somo. Tatizo hadi walimu wetu walikuwa wanasema ditamain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…