Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mbaka badala ya MpakaAngo badala ya Anko.
Ngombe badala ya Ng'ombe
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaka badala ya MpakaAngo badala ya Anko.
Ngombe badala ya Ng'ombe
Man, you're bad! 😂😂😂Mbaka badala ya Mpaka
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beepIvi mkuu missed call inamaanisha Call ilopigwa ikaitaa wee lkn haikupokelewa mpaka ikajikata, so wee ulipigiwa ndo unataarifiwa kua kuna call umeimis
Sasa huwa najiuliza..kuna mtu anakupigia huku kidole kipo kwa button ya kukatia. Yaan ni paaa uyo keshakata ,wakat mwingine kuna watu ni magwiji wa kubeep yaan utaona mwanga tu ,tayar mtu keshakata.
Hii nayo tunaiita Missed call?? Kuuliza sio ujinga.
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewaNikawaza labda iitwe "Beeped call" kwa sababu mpigaji anakua nakusuduo la kubeep tu .
Alafu hii yakupiga lkn mpokeaji hapokei mpaka sim inakata ndo tuendelee kuiita Missed call .
Ivi ni kudeep au kubeep??[emoji23][emoji23][emoji23]au yote sio sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Auto answer hii inakaaje mkuu?Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beep
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah basi iwe ivi, ibakie kua missed call kwa mpigiwaji.Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewa
Uko sahihi mkuu ni beep,,, watu huwa wanasema deep hahahahahaha
Hahahahahah basi iwe ivi, ibakie kua missed call kwa mpigiwaji.Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewa
Uko sahihi mkuu ni beep,,, watu huwa wanasema deep hahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibuMan, you're bad! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaa wewe mkuu, huwazi siku mtu anakupigia, naww umeweka auto nambaya simu umeweka bila mlio wala kutetema .Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beep
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nishike sikioAuto answer hii inakaaje mkuu?
Jiwe![emoji16][emoji16][emoji16]Namtafuta huyu aliyetamka hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beep
Sent using Jamii Forums mobile app
Economically. Weng wanaitamka ikonomokali lakini sio sahihi. Inatamkwa "ikonomikli"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kila lugha uzalisha maneno yake kutoka sehemu mbalimbali mfano neno fegi limetoka katika neno fag au malavidavi ni lovey dovey. Mleta mada ingependeza kuweka maneno ambayo mtu anapozungumza kiingereza hukosea kutamka maneno kama;
1. Determine- wengi utamka ditamain
2. Deserve- disevu erufi "er" upendelea kuipa sauti ya E badala ya A
3. Lyrics- lairiks badala ya liriks
4. Stopped na maneno yanayoishia na 'ed' wengi ni wazito na hukosea. Maneno haya yana sauti ya 't' mwishoni na sio 'd'.
5. Majina ya watu hata pale anapozungumza kwa mfano Bernard, Daniel, Geoffrey etc.
Asande! 😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu
"Dume la Nyani haliogopi Umande"