Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Ivi mkuu missed call inamaanisha Call ilopigwa ikaitaa wee lkn haikupokelewa mpaka ikajikata, so wee ulipigiwa ndo unataarifiwa kua kuna call umeimis

Sasa huwa najiuliza..kuna mtu anakupigia huku kidole kipo kwa button ya kukatia. Yaan ni paaa uyo keshakata ,wakat mwingine kuna watu ni magwiji wa kubeep yaan utaona mwanga tu ,tayar mtu keshakata.

Hii nayo tunaiita Missed call?? Kuuliza sio ujinga.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Yeah. Hiyo ni missed call. Dawa ni auto answer ambapo akipiga inajipokea. Kwangu No ku beep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikawaza labda iitwe "Beeped call" kwa sababu mpigaji anakua nakusuduo la kubeep tu .
Alafu hii yakupiga lkn mpokeaji hapokei mpaka sim inakata ndo tuendelee kuiita Missed call .

Ivi ni kudeep au kubeep??[emoji23][emoji23][emoji23]au yote sio sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewa

Uko sahihi mkuu ni beep,,, watu huwa wanasema deep hahahahahaha
 
Hahahahahaha yaani wewe unachekesha...akibeep halafu usipokee pia ni missed call maana haijapokelewa

Uko sahihi mkuu ni beep,,, watu huwa wanasema deep hahahahahaha
Hahahahahah basi iwe ivi, ibakie kua missed call kwa mpigiwaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhani kila lugha uzalisha maneno yake kutoka sehemu mbalimbali mfano neno fegi limetoka katika neno fag au malavidavi ni lovey dovey. Mleta mada ingependeza kuweka maneno ambayo mtu anapozungumza kiingereza hukosea kutamka maneno kama;
1. Determine- wengi utamka ditamain
2. Deserve- disevu erufi "er" upendelea kuipa sauti ya E badala ya A
3. Lyrics- lairiks badala ya liriks
4. Stopped na maneno yanayoishia na 'ed' wengi ni wazito na hukosea. Maneno haya yana sauti ya 't' mwishoni na sio 'd'.
5. Majina ya watu hata pale anapozungumza kwa mfano Bernard, Daniel, Geoffrey etc.

Safi sana mkuu. Umenipa somo. Tatizo hadi walimu wetu walikuwa wanasema ditamain
 
Back
Top Bottom