Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Je wewe unaongea au kuandika english sahihi au sio sahihi?
Makosa katika kuongea au kuandika hayakosekani hasa ukizingatia Kiingereza kwa wengi wetu ni 2nd au 3rd language after mother tongue,nikiri kwamba huwa nakosea sometimes japo najitahidi kuongea na kuandika english sahihi,sijui kama nimekujibu ipasavyo bro?
 
Sikutegemea kama ungenijibu vizuri hivi.
Nilipokuwa nasoma nilipata tabu sana na yote hii ni baada ya kuwa naongea RPC. Maana nilikutana na watu wabishi sana kuelewa. Ahsante sana. Ukweli ni kwamba takribani asilimia 75 ya watanzania wanaoongea Kiingereza wanaongea Kiingereza cha Marekani na sio Uingereza. Mfano
Neno rangi kwa kiingereza ni COLOUR, lakini wengi wamefundishwa COLOR na linatamkwa KALA, lakini wengi wanatamka KOLO.
Natumai umenielewa.
 
Nakuelewa saaaaana brother,mimi nimesoma linguistic na literature,imenisaidia (hasa lingustic)kuelewa mambo kadha wa kadha ambayo tunakosea sana,na imekuwa ni tabu hakika kuwarekebisha watu kwavile wameshatopea katika makosa hayo kiasi cha kuona na kuamini wako sawasawa.Fuatilia tu mfano mdogo wa neno "pizza",linatamkwa kama lilivyoandikwa lakini usahihi ni "pitsa" kimatamshi,ipo mifano mingi bro.Itoshe tu kusema nimefurahi kukutana na watu ambao tuna interest zinazofanana.
 
Ahsante nashukuru sana.
 
Shizzle = Shizo
My nizzle = Manizo
Coral = Koro
Little = Lito
Needle = Nido
 
Back
Top Bottom