Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Afadhali utanisaidia kumwelesha huyo "mtoto" Mlaleo ... Nadhani una hekima ya kumwelewesha tu anitake radhi kwa kuniita "mjinga" wakati nilijitolea tu kumfuta ujinga bila malipo yoyote....

Naamini utamwambia "Aoneshe hekima yake, afiche upumbavu wake"... Na anaweza pia kunikosoa kwa hili neno "kuonesha" akiamini neno sahihi ni "kuonyesha"

Siku huzi kuna watu wanaenda shuleni kusomea ujinga.
Acha Undezi wewe ukweli unaujua ila unajifanya Mpumbavu... Hii thread inazungumzia mambo ambayo ki fact yanakosewa na uhalisia wenyewe wewe unaleta upumbavu wako tena kwa kulazimisha unaona aibu ukiukubali ukweli hata TIN inaitwa TIN Number ila TIN inasimama kama ilivyo Taxi Identification Number... Hii Issue ingekuwa ni Mtihani na ubishi na upumbavu wako am sure ungefail lazima. Sioni sababu ya kuendelea na wewe umechangua ujinga so baki nao elimu ni gharama kwako.
 
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo

1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror

2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.

3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.

5._______________________

Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.

Ahsanteni.
Mkuu naomba unisaidia ndege aina ya Kanga anaitwaje kwa kizungu,,nshazunguka sana google huko nimekosa asee
 
Acha Undezi wewe ukweli unaujua ila unajifanya Mpumbavu... Hii thread inazungumzia mambo ambayo ki fact yanakosewa na uhalisia wenyewe wewe unaleta upumbavu wako tena kwa kulazimisha unaona aibu ukiukubali ukweli hata TIN inaitwa TIN Number ila TIN inasimama kama ilivyo Taxi Identification Number... Hii Issue ingekuwa ni Mtihani na ubishi na upumbavu wako am sure ungefail lazima. Sioni sababu ya kuendelea na wewe umechangua ujinga so baki nao elimu ni gharama kwako.

Wenye akili na uelewa wao wanakuona we ndezi sana. Badala ya kushukuru nakufuta ujinga we unajifanya mjuaji

Ile ni CRDB Bank na sio CRD Bank...

Wanaosema TIN Number ni wajinga kama wewe unaedhani mpaka leo CRDB kuwa hapo "B" inasimama kama initial ya neno Bank

Ficha upumbavu na ufala wako. Fanya homework uende na wakati. Ukishaufuta ujinga uje hapa kunishukuru

Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Kwa sababu hata ku-google kumekushinda nimekusaidia kidogo tu hapa ili uondoe undezi, ujinga na upumbavu wako wa kutotaka kuelimishwa bure

Screenshot_20171205-181546.png

Aaiii!
 
Niliwahi kumsikia MTU akisema

"Watch It" badala ya "Watch out"

Nashauri tu kuwa kama unaona kingereza kwako ni kigumu, ongea tu kiswahili bila kuchanganya na maneno ya kiingereza kati.
 
Yani wewe bado ni "mshamba" sana kwenye hii tasnia. Nadhani hata google unaona tabu kutumia. Kama bado unawaza CRDB ni Cooperative Rural Development Bank... njoo hapa Bunju binti yangu yuko darasa la nne atakufundisha

Ile ni CRDB bank... sio initials kama ulivyokaririshwa na wajinga au ujinga wako.

Hivi unawezaje kuwa member wa JF afu unashindwa kuelewa ile bank ilishabinafsishwa na kwa sababu za "kibiashara" ikabidi CRDB iendelee kuwa kama jina lakini sio kwa initials za maana ya mwanzoni?

Siku nyingine ukome kumwita "babu" yako "mjinga" wakati kichwani kwako kumejaa "mapovu" badala ya ubongo.

Ile ni CRDB bank na sio CRD bank

Usije ukaleta ujuaji wako wa kijinga ukadhani watu wanakosea kama wanavyokosea kusema Barabara ya Morogoro road au Uwanja wa Taifa stadium....

Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
Hiyo Bank Tokea Inaanzishwa wafanyakazi wake wakitokea NBC nilikuwepo so mjinga kama wewe huna la kuniambia upuuzi wowote ule. CRDB nenda BRELA kawaombe Memorandum yao ya kwanza kabla ya changes zozote zile uisome ukienda pale unalipia nadhani kama elfu tatu tu... watu wa kigoma nyie lazima mtaenda kuhakikisha. ukishaisoma ndio utaelewa nini kirefu cha CRDB hayo mengine ati ni jina tu la Bank upuuzi huo kawaadhithie watoto wako pakee. Wapuuzi kama Nyie ndio waliingia hadi kwenye Dini zile asili zote wakazibadilisha wakaja na zao
Kwa sababu hata ku-google kumekushinda nimekusaidia kidogo tu hapa ili uondoe undezi, ujinga na upumbavu wako wa kutotaka kuelimishwa bure

View attachment 644674 View attachment 644674
Akili yako unaitegemea google inayotoa source sehemu ambazo zimeeditiwa na watu.. Pumbavu mkubwa wewe nimekuelekeza uende sehemu official ya Serikali bado u mpumbavu ndio maana nakuacha uendelee na ujinga wako. pole sana. Mtoa Mada kasema misemo ambayo watu huikosea sana tofauti na uhalisia wake. hiyo CRDB Bank sijui umeanza kuisikia baada ya ubinafsishaji wa Mkapa so nadhani bado una utoto mwingi.
 
Back
Top Bottom