Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Acha Undezi wewe ukweli unaujua ila unajifanya Mpumbavu... Hii thread inazungumzia mambo ambayo ki fact yanakosewa na uhalisia wenyewe wewe unaleta upumbavu wako tena kwa kulazimisha unaona aibu ukiukubali ukweli hata TIN inaitwa TIN Number ila TIN inasimama kama ilivyo Taxi Identification Number... Hii Issue ingekuwa ni Mtihani na ubishi na upumbavu wako am sure ungefail lazima. Sioni sababu ya kuendelea na wewe umechangua ujinga so baki nao elimu ni gharama kwako.Afadhali utanisaidia kumwelesha huyo "mtoto" Mlaleo ... Nadhani una hekima ya kumwelewesha tu anitake radhi kwa kuniita "mjinga" wakati nilijitolea tu kumfuta ujinga bila malipo yoyote....
Naamini utamwambia "Aoneshe hekima yake, afiche upumbavu wake"... Na anaweza pia kunikosoa kwa hili neno "kuonesha" akiamini neno sahihi ni "kuonyesha"
Siku huzi kuna watu wanaenda shuleni kusomea ujinga.