Kiyumbi Yuga
Member
- Dec 13, 2017
- 92
- 165
Nimejifunza kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
XXX bih No..CRDB = Cooperatives Rural and Development Bank
XXX big No..
Self contained [emoji1]
Nimecheka sana.....daaahBolojoint
Hahahah kuna Prof. wangu alikuwa anatamka hivi.Njiii badala ya nchi.
fonti fed,badala ya front pageKumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo
1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror
2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.
3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.
5._______________________
Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.
Ahsanteni.
[emoji87]Njiii badala ya nchi.