GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
#1. adriz
Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua.
#2. GENTAMIYCINE
Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui, Mzinzi, Muongo, mwingi wa Habari, mpenda Watu, anashiriki Shughuli zote za Kijamii, siyo Mchoyo akiwa nacho, mpenda Haki na hana Unafiki.
Kati ya hawa Wawili ni yupi mbele ya Mwenyezi Mungu Mbinguni ndiyo atajulikana alikuwa Mcha Mungu hasa bila Sisi Wanadamu Kuhukumu kwa Mioyo yetu na Hisia zetu?
adriz Jamaa yako Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura kutoka Gisenyi Rwanda anakusalimu.