PITIA HAPA:Mliowahi kununua viwanja au mashamba kutoka Kwa Hawa wamiliki wa Real estate agents

PITIA HAPA:Mliowahi kununua viwanja au mashamba kutoka Kwa Hawa wamiliki wa Real estate agents

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Habar zenu wapendwa
Kuna kiela changu nimekipata Mahali nataka kununua ka plot Kwa ajili ya investment for my kids for their feture
Sasa kwenye mitandao naona Kuna Hawa real estate agents wengi Sana nashidwa kuelewa jinsi wanavyo fanya kazi na usahihi wao jinsi ya Kupata hati baada ya kukamilisha malipo
Mlio wahi kununua plot au mashamba kutoka kwao naomba mtupe uzoefu na jinsi ya kufanya nsije nkaingizwa mkenge buree

Ahsante Kwa mrejesho wenu
 
Back
Top Bottom