Hakikisha mwanamke anakupenda sana utaishi Kwa amani. Akikutongoza au akaonyesha green light na ni mzuri, komaa na huyohuyo. Ataishi na wewe in good and badtimes.sina hata uzoefu, mimi mgeni kabisa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha mwanamke anakupenda sana utaishi Kwa amani. Akikutongoza au akaonyesha green light na ni mzuri, komaa na huyohuyo. Ataishi na wewe in good and badtimes.sina hata uzoefu, mimi mgeni kabisa😂
1,2,3,10
umejitetea vizuri,Huwezi penda wanawake wote, ndo maana mimi nimechagua lifestyle ya kuwa na mmoja (Christianity like of relationship), ila naona hii lifestyle itanishinda.
Ujue ukiwa na wanawake wengi unakuwa una options, huna stress, unakuwa unajua akizingua huyu namchukua fulani. Ila Ukristo umebana sana, mke mmoja mpaka kufa, alafu haeleweki, anaficha makucha yake, kuna muda nishawahi kuwa atheist kwasababu hizihizi, baadaye nikajirudi kuwa theist kwasababu ya Physics.
Kwasababu nimechagua hii form of life, nitachunguza mpaka dakika ya mwisho, nisifanye kosa lolote .
Confirmation bias.🤣🤣🤣🤣......Dah naaply maisha ya trading mpaka huku, siko aggressive ila conservative.umejitetea vizuri,
ila no one has figured out relationships, kusingekua na mifarakano, ila nakuelewa unatafuta ile confirmation bias😂
ni sawa pia
1,2,3,10
Huwa vinaniumiza kichwa sana[emoji23][emoji23]. Japo huyu mleta ushauri kasema sio mbaya sana
1👉Je mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.
2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni Kua karibu na simu yake??
3👉Je kwa Sasa amekua active zaidi kwenye social media hususan IG na FB?
4👉Je anapost post picha za mitego?
5👉Je kwa Sasa hajali hata akuone unanukaribu na mwanamke mwingine?.
6👉Mkeo Kwa Sasa anazungumzia Maisha Mazuri nje ya Ndoa??.
7👉Amekua na Marafiki wengi wengi mtaani?.
8👉Ameanza kua Mkali unapomuuliza kuhusu marafiki zake wakiume?.
9👉Unaona amepata improvement kwenye Maisha yake ? Mfano kazin wamempa promotion?. Kaanza kujidiet Et kupunguza uzito?.
10👉Alikua Mgonv Mgonv ila siku hizi Hana kabisa muda ?.
11👉Anasifia Mabwana au waumenza marafiki zake?.
12👉Fanya kumuuliza kuhusu "Usaliti", muitikio wake ukoje, anakwepa kwepa kulijibu Hilo swali???
Sasa piga hesabu ndogo hapa
Kama unachezea hivi....
0---3 Huyu uwezekano wa kusaliti ni mdogoo.
3---6 Kuna Uwezekano kaanza kufikiria kukusaliti lakini hapa Kuna nafasi bado ipo ya Kumfanya asikusaliti.
6+++++ Keshaanza Kuliwa Ndugu yangu, huna chako, keshaanza kuchezeshewa shooo !!.
Nini Cha kufanya?.
Kabla ya yote faham kua, MWANAMKE ANASALITI PALE TU ANAPOKOSA EMOTIONAL SATISFACTION KUTOKA KWA MWANAUME WAKE.
Sasa ili uweze kumpa Emotional Satisfaction ,lazima upitie nyuzi zangu baadhi nlowah andika jinsi ya kucheza na Mind ya mwanamke, Kumfanya aamini wee ndo Maisha yake, n.k !!.
Kataa ndoa1👉Je mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.

Hizo namba nimerudia kusoma naona unaingia ingia hivi[emoji23]Nilijua nachomoka bila bila kumbe nipo dah!
Hii imeenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu, ila ya nini yote. Kuchunguzana kote huko wakati majukumu ya kuiwezesha familia yananitoa jasho?!1👉Je mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.
2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni Kua karibu na simu yake??
3👉Je kwa Sasa amekua active zaidi kwenye social media hususan IG na FB?
4👉Je anapost post picha za mitego?
5👉Je kwa Sasa hajali hata akuone unanukaribu na mwanamke mwingine?.
6👉Mkeo Kwa Sasa anazungumzia Maisha Mazuri nje ya Ndoa??.
7👉Amekua na Marafiki wengi wengi mtaani?.
8👉Ameanza kua Mkali unapomuuliza kuhusu marafiki zake wakiume?.
9👉Unaona amepata improvement kwenye Maisha yake ? Mfano kazin wamempa promotion?. Kaanza kujidiet Et kupunguza uzito?.
10👉Alikua Mgonv Mgonv ila siku hizi Hana kabisa muda ?.
11👉Anasifia Mabwana au waumenza marafiki zake?.
12👉Fanya kumuuliza kuhusu "Usaliti", muitikio wake ukoje, anakwepa kwepa kulijibu Hilo swali???
Sasa piga hesabu ndogo hapa
Kama unachezea hivi....
0---3 Huyu uwezekano wa kusaliti ni mdogoo.
3---6 Kuna Uwezekano kaanza kufikiria kukusaliti lakini hapa Kuna nafasi bado ipo ya Kumfanya asikusaliti.
6+++++ Keshaanza Kuliwa Ndugu yangu, huna chako, keshaanza kuchezeshewa shooo !!.
Nini Cha kufanya?.
Kabla ya yote faham kua, MWANAMKE ANASALITI PALE TU ANAPOKOSA EMOTIONAL SATISFACTION KUTOKA KWA MWANAUME WAKE.
Sasa ili uweze kumpa Emotional Satisfaction ,lazima upitie nyuzi zangu baadhi nlowah andika jinsi ya kucheza na Mind ya mwanamke, Kumfanya aamini wee ndo Maisha yake, n.k !!.
[emoji1787]Dah, kwahiyo asipunguze uzito[emoji23]
Moyo utaburst atakufa
Nilikuwa mgomvi mgomvi sa ivi nimeacha kumbe tayarii [emoji1787]Dah, kwahiyo asipunguze uzito[emoji23]
Moyo utaburst atakufa
Utachelewa sanaaHuwezi penda wanawake wote, ndo maana mimi nimechagua lifestyle ya kuwa na mmoja (Christianity like of relationship), ila naona hii lifestyle itanishinda. Wanawake wamebadilika nowadays, na tabia haibadiliki.
Ujue ukiwa na wanawake wengi unakuwa una options, huna stress, unakuwa unajua akizingua huyu namchukua fulani. Ila Ukristo umebana sana, mke mmoja mpaka kufa, alafu haeleweki, anaficha makucha yake, kuna muda nishawahi kuwa atheist kwasababu hizihizi, baadaye nikajirudi kuwa theist kwasababu ya Physics.
Kwasababu nimechagua hii form of life, nitachunguza mpaka dakika ya mwisho, nisifanye kosa lolote .
Kuchelewa kufanya nini?Utachelewa sanaa
tunajaribu sana kuwaelewa mpaka tunapitiliza😂Nilikuwa mgomvi mgomvi sa ivi nimeacha kumbe tayarii [emoji1787]