Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

Forget not kutoa indicators na kuwatahadharisha wanamama juu ya mume anayechepuka.

Thsipende kunyoshea mikono upande wa wenzetu alihali na sisi tunafanya mengi ya kustaajabisha na bado wake zetu wanatuvumilia.

Kupandishwa madaraja sijui kufanya mazoezi siyo ishara ya mke kuanza kuchepuka mkuu. Vipi sisi wanaume tunaopandishwa mishahara na madaraja? Vipi tunaofanya mazoezi.?

Usaliti ni ajenda pana. Tukianza kunyosheana vidole hatutafika.
 
Back
Top Bottom