Hakikisha mwanamke anakupenda sana utaishi Kwa amani. Akikutongoza au akaonyesha green light na ni mzuri, komaa na huyohuyo. Ataishi na wewe in good and badtimes.sina hata uzoefu, mimi mgeni kabisaš
1,2,3,10
umejitetea vizuri,Huwezi penda wanawake wote, ndo maana mimi nimechagua lifestyle ya kuwa na mmoja (Christianity like of relationship), ila naona hii lifestyle itanishinda.
Ujue ukiwa na wanawake wengi unakuwa una options, huna stress, unakuwa unajua akizingua huyu namchukua fulani. Ila Ukristo umebana sana, mke mmoja mpaka kufa, alafu haeleweki, anaficha makucha yake, kuna muda nishawahi kuwa atheist kwasababu hizihizi, baadaye nikajirudi kuwa theist kwasababu ya Physics.
Kwasababu nimechagua hii form of life, nitachunguza mpaka dakika ya mwisho, nisifanye kosa lolote .
Confirmation bias.š¤£š¤£š¤£š¤£......Dah naaply maisha ya trading mpaka huku, siko aggressive ila conservative.umejitetea vizuri,
ila no one has figured out relationships, kusingekua na mifarakano, ila nakuelewa unatafuta ile confirmation biasš
ni sawa pia
1,2,3,10
Huwa vinaniumiza kichwa sana[emoji23][emoji23]. Japo huyu mleta ushauri kasema sio mbaya sana
1šJe mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.
2šJe mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni Kua karibu na simu yake??
3šJe kwa Sasa amekua active zaidi kwenye social media hususan IG na FB?
4šJe anapost post picha za mitego?
5šJe kwa Sasa hajali hata akuone unanukaribu na mwanamke mwingine?.
6šMkeo Kwa Sasa anazungumzia Maisha Mazuri nje ya Ndoa??.
7šAmekua na Marafiki wengi wengi mtaani?.
8šAmeanza kua Mkali unapomuuliza kuhusu marafiki zake wakiume?.
9šUnaona amepata improvement kwenye Maisha yake ? Mfano kazin wamempa promotion?. Kaanza kujidiet Et kupunguza uzito?.
10šAlikua Mgonv Mgonv ila siku hizi Hana kabisa muda ?.
11šAnasifia Mabwana au waumenza marafiki zake?.
12šFanya kumuuliza kuhusu "Usaliti", muitikio wake ukoje, anakwepa kwepa kulijibu Hilo swali???
Sasa piga hesabu ndogo hapa
Kama unachezea hivi....
0---3 Huyu uwezekano wa kusaliti ni mdogoo.
3---6 Kuna Uwezekano kaanza kufikiria kukusaliti lakini hapa Kuna nafasi bado ipo ya Kumfanya asikusaliti.
6+++++ Keshaanza Kuliwa Ndugu yangu, huna chako, keshaanza kuchezeshewa shooo !!.
Nini Cha kufanya?.
Kabla ya yote faham kua, MWANAMKE ANASALITI PALE TU ANAPOKOSA EMOTIONAL SATISFACTION KUTOKA KWA MWANAUME WAKE.
Sasa ili uweze kumpa Emotional Satisfaction ,lazima upitie nyuzi zangu baadhi nlowah andika jinsi ya kucheza na Mind ya mwanamke, Kumfanya aamini wee ndo Maisha yake, n.k !!.
Kataa ndoa1šJe mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.

Hizo namba nimerudia kusoma naona unaingia ingia hivi[emoji23]Nilijua nachomoka bila bila kumbe nipo dah!
Hii imeenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu, ila ya nini yote. Kuchunguzana kote huko wakati majukumu ya kuiwezesha familia yananitoa jasho?!1šJe mwanamke wako ameanza kua na mitoko au safari kuliko ilivyokua huko nyuma??.
2šJe mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni Kua karibu na simu yake??
3šJe kwa Sasa amekua active zaidi kwenye social media hususan IG na FB?
4šJe anapost post picha za mitego?
5šJe kwa Sasa hajali hata akuone unanukaribu na mwanamke mwingine?.
6šMkeo Kwa Sasa anazungumzia Maisha Mazuri nje ya Ndoa??.
7šAmekua na Marafiki wengi wengi mtaani?.
8šAmeanza kua Mkali unapomuuliza kuhusu marafiki zake wakiume?.
9šUnaona amepata improvement kwenye Maisha yake ? Mfano kazin wamempa promotion?. Kaanza kujidiet Et kupunguza uzito?.
10šAlikua Mgonv Mgonv ila siku hizi Hana kabisa muda ?.
11šAnasifia Mabwana au waumenza marafiki zake?.
12šFanya kumuuliza kuhusu "Usaliti", muitikio wake ukoje, anakwepa kwepa kulijibu Hilo swali???
Sasa piga hesabu ndogo hapa
Kama unachezea hivi....
0---3 Huyu uwezekano wa kusaliti ni mdogoo.
3---6 Kuna Uwezekano kaanza kufikiria kukusaliti lakini hapa Kuna nafasi bado ipo ya Kumfanya asikusaliti.
6+++++ Keshaanza Kuliwa Ndugu yangu, huna chako, keshaanza kuchezeshewa shooo !!.
Nini Cha kufanya?.
Kabla ya yote faham kua, MWANAMKE ANASALITI PALE TU ANAPOKOSA EMOTIONAL SATISFACTION KUTOKA KWA MWANAUME WAKE.
Sasa ili uweze kumpa Emotional Satisfaction ,lazima upitie nyuzi zangu baadhi nlowah andika jinsi ya kucheza na Mind ya mwanamke, Kumfanya aamini wee ndo Maisha yake, n.k !!.
[emoji1787]Dah, kwahiyo asipunguze uzito[emoji23]
Moyo utaburst atakufa
Nilikuwa mgomvi mgomvi sa ivi nimeacha kumbe tayarii [emoji1787]Dah, kwahiyo asipunguze uzito[emoji23]
Moyo utaburst atakufa
Utachelewa sanaaHuwezi penda wanawake wote, ndo maana mimi nimechagua lifestyle ya kuwa na mmoja (Christianity like of relationship), ila naona hii lifestyle itanishinda. Wanawake wamebadilika nowadays, na tabia haibadiliki.
Ujue ukiwa na wanawake wengi unakuwa una options, huna stress, unakuwa unajua akizingua huyu namchukua fulani. Ila Ukristo umebana sana, mke mmoja mpaka kufa, alafu haeleweki, anaficha makucha yake, kuna muda nishawahi kuwa atheist kwasababu hizihizi, baadaye nikajirudi kuwa theist kwasababu ya Physics.
Kwasababu nimechagua hii form of life, nitachunguza mpaka dakika ya mwisho, nisifanye kosa lolote .
Kuchelewa kufanya nini?Utachelewa sanaa
tunajaribu sana kuwaelewa mpaka tunapitilizašNilikuwa mgomvi mgomvi sa ivi nimeacha kumbe tayarii [emoji1787]