Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa!

Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao:

"The most dangerous of men are those who appear very religious".Dr. Rivera

"They have the
deep respect of the people who are ignorant of their ungodly push for power behind the scenes". Dr. Rivera

"These religious men, who pretend to love God, will resort to murder, incite revolution and wars if necessary to help their cause". Dr. Rivera

"They are crafty,intelligent, smooth religious politicians who live in a shadowy world of secrets, intrigue, and phony holiness".Dr. Rivera
 

Attachments

Mbona kimeandikwa Kihaya? Kwa wenye maji watakielewa
 
Ngoja nikatafute kwanza mkate wa familia, nikifanikiwa nitakisoma maana wanasiasa wetu wanajivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
 
Hayo ni mawazo yake usijaze akili yako mawazo ya watu wengine. Kuwa wewe , au soma kwa kutafakari. Mwingine anaweza akatoa kitabu kinyume cha huyo pia
 
Back
Top Bottom