Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Ndani ya kitabu hiki mwandishi amejaribu kugusia vitu mbalimbali ambavyo watu wanapaswa kujifunza,mfano,mambo ya kudili na pesa,mapenzi,maisha ya kijamii,kidini,kuishi kwa furaha,kupambana na changamoto za maisha,..nk. ambapo mara nyingi vitu hivyo sasa utavikuta waandishi wengine wameelezea kwenye kitabu kimoja kimoja,yani itakubidi usome vitabu vingi tofauti tofauti.....lakini ndani ya hiki kitabu Mark Manson amegusia hayo mambo yote tena kwa lugha rahisi sana kueleweka.Ongezea nyama kidogo mkuu
Ukitaka kunielewa vizuri kitafute mkuu,utanishukuru.Ongezea nyama kidogo mkuu
Kiweke hapa mkuuUkitaka kunielewa vizuri kitafute mkuu,utanishukuru.
Poa mkuuKiweke hapa mkuu
sawa mkuuUkitaka kunielewa vizuri kitafute mkuu,utanishukuru.
Nilikuwa natafuta mfano wa kitabu kama hichoo maana nimekuja kugundua napoteza muda kusoma self help book wakati njia kubwa ni nidhamu tu.Poa mkuu
Hiki hapa mkuuView attachment The Subtle Art of Not Giving a Fck (Mark Manson) (Z-Library).pdfKiweke hapa mkuu
sawa mkuuUkitaka kunielewa vizuri kitafute mkuu,utanishukuru.
Basi soma kwanza hicho hapo juu mkuu, ukimaliza soma hiki kitabuNilikuwa natafuta mfano wa kitabu kama hichoo maana nimekuja kugundua napoteza muda kusoma self help book wakati njia kubwa ni nidhamu tu.
Nahitaji kitabu kama hiki konki ili nihamie kweye vitabu vingine vihusuvyo afya siasa au hata mambo mengine.
Unaweza kutusaidia kuviweka hapa..
Pia naona kusoma PDf ni ngumu sana,tafuta vitabu ambavyo vipo kwenye epub au Mobi format,then tumia application kama Moon+Reader(ipo playstore) kusomea,ni user-friendly.sawa mkuu
Hivi ni baadhi ya vitabu ambavyo ninavyo kwenye simu yangu,zote ni Epub na Mobi,na hiyo application ni Moon +Readersawa mkuu
Sijui kwanin nakuwaga mvivu kusoma ila ninapenda alafu kwenye simu ndio kbsaa bora hardcopy.Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.
Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.
Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.
Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.
Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.
Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.
View attachment 3095823
Nimependa sana. Nitaanza kusoma vitabu kuanzia sasa.Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.
Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.
Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.
Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.
Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.
Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.
View attachment 3095823
na Mungu akubarikiHiki hapa mkuuView attachment 3095832