Pitia kitabu hiki. Ni summary ya Self help books zote

Youngblood

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,433
Reaction score
56,810
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.

Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.

Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.

Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.

Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.

Wale waliokisoma pia mnaweza kutoa mawazo,Karibuni.

Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.

images%20(18).jpg
 
Ongezea nyama kidogo mkuu
Ndani ya kitabu hiki mwandishi amejaribu kugusia vitu mbalimbali ambavyo watu wanapaswa kujifunza,mfano,mambo ya kudili na pesa,mapenzi,maisha ya kijamii,kidini,kuishi kwa furaha,kupambana na changamoto za maisha,..nk. ambapo mara nyingi vitu hivyo sasa utavikuta waandishi wengine wameelezea kwenye kitabu kimoja kimoja,yani itakubidi usome vitabu vingi tofauti tofauti.....lakini ndani ya hiki kitabu Mark Manson amegusia hayo mambo yote tena kwa lugha rahisi sana kueleweka.
 
Nilikuwa natafuta mfano wa kitabu kama hichoo maana nimekuja kugundua napoteza muda kusoma self help book wakati njia kubwa ni nidhamu tu.

Nahitaji kitabu kama hiki konki ili nihamie kweye vitabu vingine vihusuvyo afya siasa au hata mambo mengine.

Unaweza kutusaidia kuviweka hapa..
 
Basi soma kwanza hicho hapo juu mkuu, ukimaliza soma hiki kitabu
Kinahusu mambo mengi sana ya Middle east huko,utapata picha nzima ya mambo yanayotokea duniani kwa sasa,mambo yanayotokea sasa duniani yameanza tangu kabla ya Yesu.
rg_p_1696334_0.jpg
 
sawa mkuu
Pia naona kusoma PDf ni ngumu sana,tafuta vitabu ambavyo vipo kwenye epub au Mobi format,then tumia application kama Moon+Reader(ipo playstore) kusomea,ni user-friendly.
Vitabu vyote vinapatika kwa urahisi kweye Z libray hapo utadownload kitabu chochote kwenye format yoyote
 
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.

Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.

Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.

Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.

Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.

Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.

View attachment 3095823
Sijui kwanin nakuwaga mvivu kusoma ila ninapenda alafu kwenye simu ndio kbsaa bora hardcopy.
 
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.

Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.

Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.

Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.

Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.

Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.

View attachment 3095823
Nimependa sana. Nitaanza kusoma vitabu kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom