Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.
Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo.
Ukimaliza kusoma hiki kitabu na ukasoma self help book [emoji432] yoyote utaona kama unafanya marudio.
Ni kitabu kizuri sana kwa wale ambao wanaanza kusoma vitabu.
Ningependekeza kila mtu asome hiki kitabu.
Wale waliokisoma pia mnaweza kutoa mawazo,Karibuni.
Mark Manson kwenye uandishi yupo vizuri
Big up kwake.