Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Kabla ya kufikiria kusajili kocha tujiulize kama bodi iliyopo Ina uwezo wa kuongoza Simba au walikuwa wamejificha kwenye kivuli Cha marehemu Hanspope
 
Kwa tabia za Simba na yanga zilivyo,hata huyo atatimuliwa tu
 
Hii haiwezekani,kwanza Simba haina uwezo wa kumlipia,pia kama uwezo upo hawakubali kupata hasara,Pitso kumlipa ni ishu halafu huwa ananunua mchezaji anayemtaka ,sasa gharama hiyo Simba wataweza?
 
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu - Aden Rage
 
Matola atafute leseni class A ya caf simba kuisimamia ataweza na njia nyeupe sana. .akomae na shule
 
Hata huyu hana timu.
 
Hawa jamaa wanapelekwa pelekwa tu kama magari mabovu na viongozi wao!

Hivi wameambiwa kweli sababu ya msingi ya kutimuliwa kwa huyo kocha ndani ya miezi miwili tu!!! Au wenyewe muda huu watakuwa wanashangilia tu kama kawaida yao!!
Kocha alipewa vipengele vigumu kwenye mkataba na kasoma alama za nyakati akajipima akaona hatoshi hivyo alianza mipango ya kutafuta kazi pengine na ameshapata kazi Misri. Kifupi kocha ndiiye kaomba po, na kwa vile kelele zishakuwa nyingi kwa washabiki uongozi ukaamua kumkubalia yaishe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unaokoteza huko na kuleta humu
 
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
Kwa hiyo atakaa bila timu hata miaka kumi mpaka al ahly wamwajiri tena?
 
Team iliyoshindwa kumsajili manzoki ndo wamsajili pitso kweli akili ni nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…