Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Usijali kipenzi Simba ni dude kuuuuuuuuubwaaaaaa haliishiwi wala kuisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali kipenzi Simba ni dude kuuuuuuuuubwaaaaaa haliishiwi wala kuisha.
Kwa tabia za Simba na yanga zilivyo,hata huyo atatimuliwa tuSimba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Naaaaaaaam.....Usijali kipenzi Simba ni dude kuuuuuuuuubwaaaaaa haliishiwi wala kuisha.
Yah hapo ndo tutajua mbivu na mbichi.Naaaaaaaam.....
Wacha tusubiri hiyo saa mbili tuone wanatuletea nini tena...
Kabisa DearYah hapo ndo tutajua mbivu na mbichi.
mi naona Try Again amepwaya sana , hata Babra mkurupukaji wa kila kituKabla ya kufikiria kusajili kocha tujiulize kama bodi iliyopo Ina uwezo wa kuongoza Simba au walikuwa wamejificha kwenye kivuli Cha marehemu Hanspope
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu - Aden RageSimba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Kumbe msha anza kumjua mchawi wenumi naona Try Again amepwaya sana , hata Babra mkurupukaji wa kila kitu
Hata huyu hana timu.Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Kocha alipewa vipengele vigumu kwenye mkataba na kasoma alama za nyakati akajipima akaona hatoshi hivyo alianza mipango ya kutafuta kazi pengine na ameshapata kazi Misri. Kifupi kocha ndiiye kaomba po, na kwa vile kelele zishakuwa nyingi kwa washabiki uongozi ukaamua kumkubalia yaishe.Hawa jamaa wanapelekwa pelekwa tu kama magari mabovu na viongozi wao!
Hivi wameambiwa kweli sababu ya msingi ya kutimuliwa kwa huyo kocha ndani ya miezi miwili tu!!! Au wenyewe muda huu watakuwa wanashangilia tu kama kawaida yao!!
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Kwa hiyo atakaa bila timu hata miaka kumi mpaka al ahly wamwajiri tena?simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.