Kama ni kweli amenukuliwa akisema, basi atakuwa atakuwa amefanya jambo la maana sana. Kama Taifa ni lazima twende na matakwa ya wakati, na wala si yale yatokanayo na maslahi ya watawala huku yakilindwa kimkakati na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.