100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Wewe ni kinda!
Siyo jibu la swali nililouliza.
Zitto baada ya kufukuzwa na chama kwa kosa la kukipeleka chama mahakamani hakukata rufaa, alikubali akaenda kujiunga na ACT.
Hiyo ni kwa faida yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kinda!
Mueleweshe 100 Likes na mkumbushe kijana anayelivalia njuga suala hili Quinine . Usimsahau (Tundu Lissu Kafuta CCM....) mjinga mjinga Erythrocyte kuwa wanajindanganya. Ili khali Spika kasema atawalinda, kweli kazi ipo atawalinda. Vile vile Mfahamishe Retired na wenzake kuwa huu ni mwendelezo wa ubinafsi wa watu, kuwa kwa vile hatupo nao wakose. Mbona wamegwaya kwa Aida?Dah, nimelikumbuka lile vagi.
Wewe bado ni kinda nasema! Uliza uambiwe au fukunyua hapa JF utapata ukweli wa yeye kuwa Mbunge wa MahakamaSiyo jibu la swali nililouliza.
Zitto baada ya kufukuzwa na chama kwa kosa la kukipeleka chama mahakamani hakukata rufaa, alikubali akaenda kujiunga na ACT.
Hiyo ni kwa faida yako.
Magufuli na co wameshaandaa uhuni. Kesi ya kupinga itafunguliwa mahakamani na huyu kilaza wenu spika hatatambua maamuzi ya Chadema na kesi itapigwa dana dana mpaka miaka mitano iishe. Hapo ndipo tulipofikia. Viongozi wanatumia uhuni wao kuendesha nchi. Nadhani hata wewe unajua kwa kina mipango yote.Time will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......
Suala la kuwepo sheria ni lingine na kuamua kuvunja ni jingine kwahiyo.kwa nchi zetu zinazoendelea siyo ajabu sheria au katiba kuvunjwa kwa maslahi ya CCM na watawala.Hata katiba inasema hivi
Oath of
Members of
Parliament
Act No.15
of 1984,
Art.13
68. Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe
before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take
part in the business of the National Assembly save that he may take part in the
election of Speaker before taking that oath.
Je wakati wanaapishwa ndicho kilichofanyika? [emoji28] [emoji28] [emoji28] Katiba bila vyomo vyenye nguvu kuisimamia ni maandishi tu
Wamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbuaUmesahau mara hii wakati Zitto akiwa mbunge wa mahakama?
Sasa ondoa iyo picha ya Bi Kidude kwenye avatar yakoIla huyu anastahili kuitwa MWAMBA View attachment 1636581
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kulog off ya kizamani wewe. Siku hizi ni kuLOG OUTSafi sana
Nalog off
Vibwengu wa Lumumba huwaoni hapa
Sawa mkuu nishaondoa hiyo picha ya Mzee Mdee[emoji23]Sasa ondoa iyo picha ya Bi Kidude kwenye avatar yako
Hawakufukuzwa ubunge maana hawakuwa wabunge. Wamenyang'anywa wadhifa katika chama na uanachama.
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================
Mzee mde kama kama beberu la mbuzi anamfuata Bulaya hapo nyuma tu hata kugeuza shingo hawezi.Sawa mkuu nishaondoa hiyo picha ya Mzee Mdee[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Watapoteza huo ubunge feki na hivyo watakosa ulaji wa miaka mitano mizima. Pagumu hapo!!!!Kama hawa akinadada wapo humu nawashauri wakaombe msamaha ktk chama chao.
Kwani hawatapoteza zaidi japokuwa mm ni ccm.
Wajipime waliko na wanakoelekea
Fedha za wafadhili zinawaumiza kichwaWalikuwa wabunge wa NEC na Ndugai!