bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,402
- 2,550
Corona virus deseas 2019
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona virus deseas 2019
😀😀😀😀Sasa kama bado ni wabunge hiyo rufaa wanakata ili wawe nani spika?
Hii iwe ,watu waelewe kuwa taasisi ni mali ya umma,Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Hata mimi najua na nakubaliana na maamuzi. Najua kabisa sasa hivi kwa sababu kina Magufuli and co wako kwenye madaraka na nchi yenyewe ni Tanzania inayokaliwa na watanzania wapole kupita kiasi, wana uwezo wa kufanya chochote. Lakini hii itakuwa historia yenye mafunzo mazuri sana kwa vizazi vijavyo kuona jinsi utawala ulivyokuwa mbovu. Hili nalo linazidi kuwaamsha watu na hata wana CCM wengi wanazidi kuchoka uhuni unaofanywa.
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Kwa katiba hii ya sasa Msekwa alikuwa miongoni mwa waandishi. Ni hilo tu nalo nilitaka ulielewe piaKwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Ni kweli. Hili halina shaka. Lakini uhuni unaofanywa utabaki kwenye historia na utazidi kuwafunua watanzania, hasa wana CCM umuhimu wa kuchuja viongozi wa ngazi za juu kwa umakini. Juzi ´nilikuwa nazungumza na kiongozi mmoja aliyewahi kuwa kigogo nadani ya serikali na CCM na alikuwa na majuto kweli kweli hapa tulipofikia.
Wabunge wa viti maalum vya Ndugai .Bado ni wabunge kwani wanaafasi ya kukata rufaa na kwenda mahakamani kukata rufaa
Mbona mimi ni mkweli ? Wewe vipi ?Yule Kitila Mkumbo taaluma yake imeingia nzi, ukishakuwa ccm ata uwe na elimu gani ukweli kwako inakuwa ni mwiko
Unapenda aje aseme alinukuliwa vibaya?Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Watu wengi wa CCM wamechoka na rais anavyotumia utashi wake kuongoza nchi badala ya katiba.CCM inahusikaje katika suala hili ? Unaweza kunijuza ?
Unapenda aje abadilishe?Kesho atakuja kubadilisha huyu mzee kama NEC walivyofanya...
Kama vinakera vumilia tu hali ndiyo hiyo.Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.
Wapiga debe kama wewe hawakosekani. Hata Hitler na kina Mobutu walikuwa na watetezi wao.Mhhh alikuwa huyo alikuwa mpiga deal tu lazima ajute
Hilo tunalijua vzr,na usifikiri Kama wao ni wajinga hawajui Sheria,ipo hv Jambo hili limefanyika makusudi na vyongozi wajuu wa chadema walilipa baraka japo hawawezi kukubali wanabakia wakisema nyaraka zimegushiwa,utakubaliana na mm kuwa tume inabarua ya uteuzi kutoka chadema na hiyo barua nikielelezo mahakamani kuwa wameonewa na kesi itaenda mahakamani na kusikilizwa chap shahidi no moja akiwa mwenyekit wa tume na ina tolewa hukumu ndani ya mwezi mmoja na bunge lijalo kina Halina ndani ya mjengoSpika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Kama wanaisaidia Chadema kutoa virusi sawa tu.CCM wanatega mitego chadema wananasa,hii ya kuvua uanachama inaweza fanya CCM wakaendelea kuifitinisha chadema ili iendelee kuvuana uanachama Mbowe atazame kwa jicho la mbali sana
Wawe wabunge wa mahakama kwa miaka mitano, ni sawa tu. Huko ndo kuwalinda kwa nguvu zote. Hivi hizi nguvu zilizotumika na zitakazoendelea kutumika ni kwa lengo lipi?Umesahau mara hii wakati Zitto akiwa mbunge wa mahakama?