Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Hii iwe ,watu waelewe kuwa taasisi ni mali ya umma,
 
ccm imekunya juu ya kutu., hii ni aibu sasa kama mzee naye anapiga msumari namna hii mdee kisiasa ndio kwisha tena akale posho bungeni halaf abane mdomo wake
 
Ila Kwa sababu nchi inaendeshwa na wahuni sitashangaa kuwaona wanaendelea kuuzulia Bunge I Kama kawa
 
CCM inahusikaje katika suala hili ? Unaweza kunijuza ?
 

Tatizo nchi imeshikwa na mshamba mmoja toka Chattle! Huyu jamaa ni mshamba na kichaa kiasi kwamba hajui alitendalo na kuna siku itakula kwake. Mbona ni swala la muda tu??Huwezi kuwafanya Watz zaidi ya milioni 50 wote wawe hawana akili!!!
 
Mhhh alikuwa huyo alikuwa mpiga deal tu lazima ajute
 
Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.
Kama vinakera vumilia tu hali ndiyo hiyo.
 
Hilo tunalijua vzr,na usifikiri Kama wao ni wajinga hawajui Sheria,ipo hv Jambo hili limefanyika makusudi na vyongozi wajuu wa chadema walilipa baraka japo hawawezi kukubali wanabakia wakisema nyaraka zimegushiwa,utakubaliana na mm kuwa tume inabarua ya uteuzi kutoka chadema na hiyo barua nikielelezo mahakamani kuwa wameonewa na kesi itaenda mahakamani na kusikilizwa chap shahidi no moja akiwa mwenyekit wa tume na ina tolewa hukumu ndani ya mwezi mmoja na bunge lijalo kina Halina ndani ya mjengo
 
CCM wanatega mitego chadema wananasa,hii ya kuvua uanachama inaweza fanya CCM wakaendelea kuifitinisha chadema ili iendelee kuvuana uanachama Mbowe atazame kwa jicho la mbali sana
Kama wanaisaidia Chadema kutoa virusi sawa tu.
 
Umesahau mara hii wakati Zitto akiwa mbunge wa mahakama?
Wawe wabunge wa mahakama kwa miaka mitano, ni sawa tu. Huko ndo kuwalinda kwa nguvu zote. Hivi hizi nguvu zilizotumika na zitakazoendelea kutumika ni kwa lengo lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…