mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
kuna mtangazaji mmoja hivi wa kiss fm anaitwa jml yuko wap skuhiz
Ila pia ni vizur ukawaeleza wanajamvi kuwa hao watu wameanza vizur kwa kufanya nini, mana mikoa mingine hiyo E.FM haikamatiNimesikiluza kipindi cha joto la asubuhi efm. Hakika PJ na Hando wameanza vyema na kipindi chao.. Mchanganyiko wa Abel Onesmo na Adela umevutia sana.
siyo jamal mkuu.anaitwa JOACHM MWENGARUGULU(JML) alikuwa anatema ngeli sana huyu jamaaJamal, ndio rais wa TFF kwa sasa!
Ila pia ni vizur ukawaeleza wanajamvi kuwa hao watu wameanza vizur kwa kufanya nini, mana mikoa mingine hiyo E.FM haikamati
Basil yupo clouds au Ea radio?Clouds kiti cha mchambua magazeti baado cha moto... Fredwaa hivi bado yupo? Abel onesmo ndo mchambua magazeti!!! Anasoma kama wale wa redio Tanzania ya zamani...wenzake hawampi support...yaani zigizaga... Kipanya nae mmmh hata simuelewi... Bora nibaki kwa Bazili Mbakile tu.
Clouds kiti cha mchambua magazeti baado cha moto... Fredwaa hivi bado yupo? Abel onesmo ndo mchambua magazeti!!! Anasoma kama wale wa redio Tanzania ya zamani...wenzake hawampi support...yaani zigizaga... Kipanya nae mmmh hata simuelewi... Bora nibaki kwa Bazili Mbakile tu.
Azam decoder na tune in utapata popote pale efm.