PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

kuna mtangazaji mmoja hivi wa kiss fm anaitwa JOACHM MWENGARUGULU (JML) yuko wap siku hizi?
 
Nimesikiluza kipindi cha joto la asubuhi efm. Hakika PJ na Hando wameanza vyema na kipindi chao.. Mchanganyiko wa Abel Onesmo na Adela umevutia sana.
Ila pia ni vizur ukawaeleza wanajamvi kuwa hao watu wameanza vizur kwa kufanya nini, mana mikoa mingine hiyo E.FM haikamati
 
Clouds kiti cha mchambua magazeti baado cha moto... Fredwaa hivi bado yupo? Abel onesmo ndo mchambua magazeti!!! Anasoma kama wale wa redio Tanzania ya zamani...wenzake hawampi support...yaani zigizaga... Kipanya nae mmmh hata simuelewi... Bora nibaki kwa Bazili Mbakile tu.
 
Basil yupo clouds au Ea radio?
 
Clouds kiti cha mchambua magazeti baado cha moto... Fredwaa hivi bado yupo? Abel onesmo ndo mchambua magazeti!!! Anasoma kama wale wa redio Tanzania ya zamani...wenzake hawampi support...yaani zigizaga... Kipanya nae mmmh hata simuelewi... Bora nibaki kwa Bazili Mbakile tu.

Abel onesmo yupo efm..
 
Back
Top Bottom