PJ na Hando wameanza vizuri E-Fm

Abel Onesmo yupo E.fm kaondoka nao
 
Hebu elekeza mkuu jinsi ya kuipata through AZAM decoder...

Bonyeza kitufe cha rimoti ya king'amuzi kilichoandikwa TV/radio ,dikoda zilizo nyingi unapata radio stesheni nyingi tu halafu unachagua unataka kusikiliza radio gani.

Hicho kitufe kwenye rimoti ya king'amuzi kipo juu kulia.
 
huko efm sasa gerald full kupishana koridoni na jide ambaye walikuwa wanampiga kijembe kipindi wako clouds....gerald ajifunze sasa ugomvi wa mabosi asiingilie, maisha yanabadilika kama hivyo sasa.
Hakika atakua amejifunza maaana hana jeuri yoyote kama ni pesa jde hampati jide hata apae
 
huko efm sasa gerald full kupishana koridoni na jide ambaye walikuwa wanampiga kijembe kipindi wako clouds....gerald ajifunze sasa ugomvi wa mabosi asiingilie, maisha yanabadilika kama hivyo sasa.
Hakika atakua amejifunza maaana hana jeuri yoyote kama ni pesa jde hampati jide hata apae[emoji23] [emoji23]
 
Hakika atakua amejifunza maaana hana jeur yyt km n pesa jde hampat jide hata apae[emoji23] [emoji23]
tena kuna siku aliwahi kuropoka hewani eti kama jide anaitwa anajiita mwanamziki wa,kizazi kipya dogo aslay ajiitaje!! yaani hiyo siku aliponda hadi nikazima redio.
 
tena kuna siku aliwahi kuropoka hewani eti kama jide anaitwa anajiita mwanamziki wa,kizazi kipya dogo aslay ajiitaje!! yaani hiyo siku aliponda hadi nikazima redio.

Atamsamehe kwa kuwa anamjua ni kiropo ropo
 
Efm naomba mumpe Gerald muda mwingi WA kuongea hasa interviews nk...buni kitu kama ile ya bonge itakua poa sana...Adela aache kiherehere cha kukontroo kipindi Gerald sio MTU WA kufunikwafunikwa jamaa ni madini wanayachezea...PJ safi sana mda wa magazet unatosha kabisa ila bac mdadavue sio kusoma tu
 
Adela haendani na kina PJ na Hando huo ndio ukweli...na mamiziki ya nini? Weka contents watu waongee...recorded clips za kaz gani why msiwahoji live wahusika...Gerald yupo tuu bado hajatumika ata robo jamani...Kama VP Gerald ongoza kipindi na PJ bac!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…