Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi yawezekana ni temporary housesView attachment 1803513
Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
Hasa sehemu zenye majanga kama tetemekoLakini kwa shamba kanafaa
Kazuri sana ukiwa na shamba lako siku ya weekend unaamua tu kwenda kupumzika huko unabeba mbuzi wako anaenda kuchinjiwa huko na kuchomwa ukiwa na familia yako huku ukiwa na castle lite kadhaa.View attachment 1803513
Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
Na sikuhizi kuna umeme wa solar, castle light zinaweza kupoa kwenye jokofu.Kazuri sana ukiwa na shamba lako siku ya weekend unaamua tu kwenda kupumzika huko unabeba mbuzi wako anaenda kuchinjiwa huko na kuchomwa ukiwa na familia yako huku ukiwa na castle lite kadhaa.
YepHiki ukikiboresha weekend unakaa kabisa na watoto , jioni mnachoma mahindi nje.
Aisee hayo maisha yana raha yake ,hamna kelele ni utulivuWeek end unaenda shamba hapo na full mazagazaga yakutumia,una achana na outside world at least for 2 days,no internet,yaani unaishi kama vile mwaka 1947
Na sikuhizi kuna umeme wa solar, castle light zinaweza kupoa kwenye jokofu.
Zina ubaya gani bia baridi? Manake mi huwa napiga safari za baridi mwanzo mwisho na huwa najisikia amani sana moyoni na kooni.Kama ni mnywaji usipendelee sana bia baridi,tena katika hali ya hewa joto ndiyo kabisaa mbaya
Haaaaa Haaaaa 😂Week end unaenda shamba hapo na full mazagazaga yakutumia,una achana na outside world at least for 2 days,no internet,yaani unaishi kama vile mwaka 1947
MI mwenyewe bia ya moto siwezi, bora nisinyweZina ubaya gani bia baridi? Manake mi huwa napiga safari za baridi mwanzo mwisho na huwa najisikia amani sana moyoni na kooni.