Plan ya nyumba ya shamba

Plan ya nyumba ya shamba

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1622458918121.jpeg

Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
 
View attachment 1803513
Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
Kazuri sana ukiwa na shamba lako siku ya weekend unaamua tu kwenda kupumzika huko unabeba mbuzi wako anaenda kuchinjiwa huko na kuchomwa ukiwa na familia yako huku ukiwa na castle lite kadhaa.
 
Kazuri sana ukiwa na shamba lako siku ya weekend unaamua tu kwenda kupumzika huko unabeba mbuzi wako anaenda kuchinjiwa huko na kuchomwa ukiwa na familia yako huku ukiwa na castle lite kadhaa.
Na sikuhizi kuna umeme wa solar, castle light zinaweza kupoa kwenye jokofu.
 
Kama ni mnywaji usipendelee sana bia baridi,tena katika hali ya hewa joto ndiyo kabisaa mbaya
Zina ubaya gani bia baridi? Manake mi huwa napiga safari za baridi mwanzo mwisho na huwa najisikia amani sana moyoni na kooni.
 
Kijumba kizuri ila sio kwa haya mashamba yetu ambayo tembo wanazurura..Wanaweza wakakipindua hicho wakumalize.
 
Zina ubaya gani bia baridi? Manake mi huwa napiga safari za baridi mwanzo mwisho na huwa najisikia amani sana moyoni na kooni.
MI mwenyewe bia ya moto siwezi, bora nisinywe
 
The happiest people don't have the best of everything,
they just make the best of everything.
 
The soul is not where it lives but where it loves,home is a feeling not a place.
 
Back
Top Bottom