mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Damn shit we have our land! It is a capital! Majambazi wanakuja na pesa tuwaachie tu kila kitu!?? Hivi serikali inaelewa umuhimu wa bandari au ni ujambazi tu? Hiyo mikataba ije!! Tuione na habari ya kwamba watanzania hawana mtaji pesa ni upumbavu wa kiwango cha lami!Kwa uwezo upi wa kifedha na mtaji walionao? Uzoefu Je?
Bagamoyo Port ni zaidi ya $10bln (27T)
Fungueni basi mipaka yote kila mmoja auze kipande chake cha ardhi tukawe manambe!!! THINK THINK THINK!!