Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Kwa uwezo upi wa kifedha na mtaji walionao? Uzoefu Je?

Bagamoyo Port ni zaidi ya $10bln (27T)
Damn shit we have our land! It is a capital! Majambazi wanakuja na pesa tuwaachie tu kila kitu!?? Hivi serikali inaelewa umuhimu wa bandari au ni ujambazi tu? Hiyo mikataba ije!! Tuione na habari ya kwamba watanzania hawana mtaji pesa ni upumbavu wa kiwango cha lami!
Fungueni basi mipaka yote kila mmoja auze kipande chake cha ardhi tukawe manambe!!! THINK THINK THINK!!
 
nyamaza tu ili kumsitiri. kati ya vitu vilimshushia hadhi na kuonekana hana uwezo au ana nia ovu na nchi, ni mkataba wa dp world. hadi mtoto mdogo hapa Tanzania alijua maza aliboronga aidha kwa sababu hajui au kwa makusudi. na vipo vingi kwenye mkataba vilibadilishwa baada ya kelele ndio maana tunasema hata yeye alijua alikosea sana.
Wewe mjinga,Rais Huwa anasaini mikataba ya utekelezaji au MoUs? Heshima ipi ilishuka?
 
Damn shit we have our land! It is a capital! Majambazi wanakuja na pesa tuwaachie tu kila kitu!?? Hivi serikali inaelewa umuhimu wa bandari au ni ujambazi tu? Hiyo mikataba ije!! Tuione na habari ya kwamba watanzania hawana mtaji pesa ni upumbavu wa kiwango cha lami!
Fungueni basi mipaka yote kila mmoja auze kipande chake cha ardhi tukawe manambe!!! THINK THINK THINK!!
Wewe ni mjinga na watu kama wewe ni WA kupuuzwa tuu.

DP World huyo hapo Bandarini,tufanye Serikali haijui umuhimu wa bandari wewe ndio unajua,haya tuambie Nchi imepata hasara gani?
 
Tangu lini mikataba ikawa public? Kutakuwa na maana ya mkataba hapo?
Wewe sijui nikuite bwana mdogo?
Mkataba una clauses, nani anaandika hizo clauses? Clients ndiyo wanaandika mkataba. Clients hapo ni muuzaji na mnunuaji. Sasa kama muuzaji - Tanzania- unasema mkataba wangu Nataka usiwe siri kwa Parliament nani atakataa? Kuna limits. Kuna Non Disclosure Agreement, sasa kusema sriri ni nini? Wizi tu huo.
Public/listed companies kila kitu kipo mtandaoni, na ukiwa shareholder unaweza kuhoji mkataba, na ukapewa kufuata sheria. Sasa nyie kuwaambia ati siri, ni wezi tu nyie.
Kuna vipengere vingi vimo ambavyo wanajua kabisa wananchi hawawezi kukubali.
 
Pesa za DP world, Misitu, na madini hazijawatosha! Mbona tunaziona mkiagiza magari ya washawasha kutupiga kwenye uchaguzi? Mbona tunaona makarandinga ya majeshi yetu? Mbona tunaona SSH 2025 pikipiki? Samia that, samia that samia fucken shit all over! Hakuna namna! TAL atawaumbua this time NO REFORM NO ELECTION!!
 
Wewe ni mjinga na watu kama wewe ni WA kupuuzwa tuu.

DP World huyo hapo Bandarini,tufanye Serikali haijui umuhimu wa bandari wewe ndio unajua,haya tuambie Nchi imepata hasara gani?
Siwezi kubishana na mpumbavu kama wewe! serikali ipi? Hii inayouza kila kitu!? Umuhimu wa Bandari huujui! Serikali ni ya kijambazi hatutegemei wawe na chembe ya kujali!!
 
kuna uwezekano mkubwa hujui hata unachoongea. ulikuwepo nchi hii kipindi cha sakata la DP WORLD?
Fungua nyuzi zangu zimejaa tele kuhusu DP World.

Nyie si ndio mlisema MoU imempa mkataba milele? Iweje implementation contract zitamke 30years?

Nyie si ndio mlisema DP World amechukua Kila kitu Sasa iweje Kuna kampuni ya Ubia ya kusimia Bandari?

Nyie si ndio mlizisha kwamba hakutakiwi kujengwa Bandari zingine,iweje Bandari zinaendelea kujengwa na nyingine ni hii ya Bagamoyo?

Nyie si ndio mlisema hakuna mshindani mwingine anatakiwa iweje Sasa ADANi anaendesha magari hapo Dar port?

Mwisho Je MoUs aliyosaini Samia imefutwa? Weka mkataba hapa.

Wewe ni mjinga na ulilewa propaganda za wahafidhina kama imavyobabaika saizi na Bagamoyo
 
Pesa za DP world, Misitu, na madini hazijawatosha! Mbona tunaziona mkiagiza magari ya washawasha kutupiga kwenye uchaguzi? Mbona tunaona makarandinga ya majeshi yetu? Mbona tunaona SSH 2025 pikipiki? Samia that, samia that samia fucken shit all over! Hakuna namna! TAL atawaumbua this time NO REFORM NO ELECTION!!
Leta vurugu na upuuzi wako wa No reform No Election uone moto hiyo Oktoba.
 
Siwezi kubishana na mpumbavu kama wewe! serikali ipi? Hii inayouza kila kitu!? Umuhimu wa Bandari huujui! Serikali ni ya kijambazi hatutegemei wawe na chembe ya kujali!!
Fala wewe huna facts ndio maana umeshindwa kujibu maswali 😂😂

Nasisitiza tufanye kwamba Serikalini hakuna watu maskini ila upo wewe,haya nipe majibu ya maswali yafuatayo,

1.DP World & Adani wako Bandarini leta hasara ambazo Nchi imepata

2.Je uwepo wao ufanisi umeongezeka au tuko kule kule?

Kama huna majibu katafute punguani wenzako ndio mjazane upumbavu.
 
Leta vurugu na upuuzi wako wa No reform No Election uone moto hiyo Oktoba.
Ni haki ya watanzania kudai na kutoa maoni! wewe mburula wa katiba! Haya leteni huo moto tuone! anza kuchimba handaki kama wew ni njagu!
 
Fala wewe huna facts ndio maana umeshindwa kujibu maswali 😂😂

Nasisitiza tufanye kwamba Serikalini hakuna watu maskini ila upo wewe,haya nipe majibu ya maswali yafuatayo,

1.DP World & Adani wako Bandarini leta hasara ambazo Nchi imepata

2.Je uwepo wao ufanisi umeongezeka au tuko kule kule?

Kama huna majibu katafute punguani wenzako ndio mjazane upumbavu.
Tunaongea kuhusu usalama wa NCHI we kiazi usiye na ufahamu! kazi kulamba mikundu ya wakubwa tu!!
 
Wewe sijui nikuite bwana mdogo?
Mkataba una clauses, nani anaandika hizo clauses? Clients ndiyo wanaandika mkataba. Clients hapo ni muuzaji na mnunuaji. Sasa kama muuzaji - Tanzania- unasema mkataba wangu Nataka usiwe siri kwa Parliament nani atakataa? Kuna limits. Kuna Non Disclosure Agreement, sasa kusema sriri ni nini? Wizi tu huo.
Public/listed companies kila kitu kipo mtandaoni, na ukiwa shareholder unaweza kuhoji mkataba, na ukapewa kufuata sheria. Sasa nyie kuwaambia ati siri, ni wezi tu nyie.
Kuna vipengere vingi vimo ambavyo wanajua kabisa wananchi hawawezi kukubali.
Wizi gani mbona unazunguka zunguka na hutaji?

Mikataba yotya Kibiashara Huwa Siri Ili Kukabiliana na ushindani
 
Ni haki ya watanzania kudai na kutoa maoni! wewe mburula wa katiba! Haya leteni huo moto tuone! anza kuchimba handaki kama wew ni njagu!
Vurugu sio maoni,mbona hapa unatoka maoni nani kakizuia?
 
Tunaongea kuhusu usalama wa NCHI we kiazi usiye na ufahamu! kazi kulamba mikundu ya wakubwa tu!!
Tufanye DP kote anakoopareti Duniani hakuna usalama.

Haya tuelezee basi Nchi imekosaje usalama Hadi Sasa 😂😂
 
Back
Top Bottom