The Planner
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 357
- 118
Yeah nakumbuka
,akm kaingia deal na maadui zake akaanza kuwauzia yeye unga.L
Kimoyomoyo nilisema huyu Pablo akimgundua ni sG :-\haba tu...
Na ndicho kilichotokea.
[emoji23] [emoji23] [em O🙂O🙂oji23] cockroach bwana!
Yeye alidhani wote watakubali rushwa zake, kila baya lina mwisho. No one lasts foreverKilichomtokea ni hiki 'Unaweza kuwashinda watu wote kwa wakati mmoja lakini huwezi kuwashinda watu wote kwa wakati wote'.
Hongera kwa kumaliza..Hoi kwa kuisoma japo inanoga
Usinisahau kwenye hiyo ishu hapo juu nimeona,Itabidi nikutafute haraka sana..
Urgent matters [emoji12]
Nashukuru sana Mkuu!!
Nahitaji na hii mkuu ya huyu jamaa naiskiag alf si kdogo kidhungu kinapiga chenga anaitwa Hamza bendelladjNashukuru sana Mkuu!!
Yes ofcoz, Mkuu Kiranga alinipa special request niandae makala kuhusu Pablo Escobar ndio nikaandaa hii stori kwa heshima yake..
Natumai ameisoma, ingawa nimesikitishwa sana na differences zilizotokea kati yake na JF..
Nimeumia sana mwanachama phenomenal kama Kiranga kujiondoa!!
If you are reading this mkuu Kiranga, heshima nyingi sana kwako Mkuu..
Sawa Mkuu! Nitafanyia kazi..Nahitaji na hii mkuu ya huyu jamaa naiskiag alf si kdogo kidhungu kinapiga chenga anaitwa Hamza bendelladj
sawa ntashukuru sanaaSawa Mkuu! Nitafanyia kazi..
Nadhan Kiranga anaweza kurudi hii makala ni nzuri sana......ila niliwahi kukwambia mkuu kuna yule jamaa anaitwa Carlos alikuwa mtu hatari na aliwahi kutembea sijui na Malkia wa Uingereza sijui ni kweli? Huyu jamaa nae itakuwa safi kama ukileta stori yakeNashukuru sana Mkuu!!