Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Yeah nakumbuka

,akm kaingia deal na maadui zake akaanza kuwauzia yeye unga.L
Kimoyomoyo nilisema huyu Pablo akimgundua ni sG :-\haba tu...
Na ndicho kilichotokea.
[emoji23] [emoji23] [em O🙂O🙂oji23] cockroach bwana!
 
Story nzuri sana. Sawa na ile ya yule mfaransa wa jiji la nice aliyekuwa mpiga na baadae akawa jambazi maarufu kwa tukio moja tu la ujambazi. Hii ipo muvi yake ila jina sikumbuki niliiona trailer tu
 
Mkuu The bold uko vizuri,habari nzuri kabisa hii........stori hii alipenda sana kuwa anaidokeza Kiranga.........hongera sana sana mkuu!!
Nashukuru sana Mkuu!!

Yes ofcoz, Mkuu Kiranga alinipa special request niandae makala kuhusu Pablo Escobar ndio nikaandaa hii stori kwa heshima yake..

Natumai ameisoma, ingawa nimesikitishwa sana na differences zilizotokea kati yake na JF..
Nimeumia sana mwanachama phenomenal kama Kiranga kujiondoa!!

If you are reading this mkuu Kiranga, heshima nyingi sana kwako Mkuu..
 
Nahitaji na hii mkuu ya huyu jamaa naiskiag alf si kdogo kidhungu kinapiga chenga anaitwa Hamza bendelladj
 
Nashukuru sana Mkuu!!

Yes ofcoz, Mkuu Kiranga alinipa special request niandae makala kuhusu Pablo Escobar ndio nikaandaa hii stori kwa heshima yake..

Natumai ameisoma, ingawa nimesikitishwa sana na differences zilizotokea kati yake na JF..
Nimeumia sana mwanachama phenomenal kama Kiranga kujiondoa!!

If you are reading this mkuu Kiranga, heshima nyingi sana kwako Mkuu..
Nadhan Kiranga anaweza kurudi hii makala ni nzuri sana......ila niliwahi kukwambia mkuu kuna yule jamaa anaitwa Carlos alikuwa mtu hatari na aliwahi kutembea sijui na Malkia wa Uingereza sijui ni kweli? Huyu jamaa nae itakuwa safi kama ukileta stori yake
 
thank mkuu kipindi cha nyuma nilijua una bahatisha kumbe una nondo za kutisha. Tuwekee na ya Manuel Noriega
 
Back
Top Bottom