Narcos,. Ni Series ya ukweli.Movie yake inaitwaje?
Nitafanya hivyo Mkuu..
Nashukuru sana Mkuu..The Bold...
Respect mkuu binafsi nimefahamu mambo mengi sana. Nilikuwa simfaham huyu mtu hata kidogo..
Now naanza kuambatanisha matukio haswa ya source ya majina ya greatest Artists e.g Nas scober.
Proud to be J.intelligence..Maana yawezekana aliyepo J.intelligence na J.forum wakawa watu wawili tofauti vilevile.
Respect Bold
Hapana mkuu siwez ila tittle yako inakuepo na nilipo itoaYeah unaweza kushea Mkuu, ila muhimu tu usiitumie kibiashara.!
Yeah huo ndio uungwana! I appreciate that..Hapana mkuu siwez ila tittle yako inakuepo na nilipo itoa
ze bold.. ukishusha nondo kama hizi usinisahau
Bila shaka wakuu.. NitawatagNaomba unitag uzi ujao
Bila shaka wakuu.. Nitawatag
Nashukuru sana Mkuu!The Bold.....
Asante sana kwa muda wako pamoja na kujitoa katika kuandika habari hii ndefu.
Najaribu kuwaza tu ikiwa mimi msomaji nimetumia karibu siku nzima kusoma tu (Ofcoz in between nilikua na switch to other responsibilities , sijui wewe umetumia muda gani kuandika story yote hii.
Nirudie kukushukuru kwani angalau sasa na mie naweza kushiriki endapo nitakuta mjadala wa Pablo na kuchangia yale niliyoyafahamu kupitia hili andiko lako
Asante The Bold!
Bila shaka Mkuu..usinisahau pia (unitag)