Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

The Bold...

Respect mkuu binafsi nimefahamu mambo mengi sana. Nilikuwa simfaham huyu mtu hata kidogo..

Now naanza kuambatanisha matukio haswa ya source ya majina ya greatest Artists e.g Nas scober.

Proud to be J.intelligence..Maana yawezekana aliyepo J.intelligence na J.forum wakawa watu wawili tofauti vilevile.

Respect Bold
 
Nashukuru sana Mkuu..
Am humbled!
 
hiv mkuu naweza kuisave vp kwenye library yangu ili nkipata muda niisome vizuri nkisha kutimiza wajibu wangu wa kulijenga taifa kwanza.
 
The Bold.....

Asante sana kwa muda wako pamoja na kujitoa katika kuandika habari hii ndefu.

Najaribu kuwaza tu ikiwa mimi msomaji nimetumia karibu siku nzima kusoma tu (Ofcoz in between nilikua na switch to other responsibilities , sijui wewe umetumia muda gani kuandika story yote hii.

Nirudie kukushukuru kwani angalau sasa na mie naweza kushiriki endapo nitakuta mjadala wa Pablo na kuchangia yale niliyoyafahamu kupitia hili andiko lako

Asante The Bold!
 
Nashukuru sana Mkuu!
Pamoja sana..
 
Back
Top Bottom