Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #421
Hahahahah! Shukrani Mkuu..Na mimi usinisahau kwenye tag list yako, thread kama hizi huwa zinanibariki sana, leo nimeanza na ya Da vinci na Monalisa ndio nimeingia hii.
Niliacha kupitia jukwaa hili baada ya kunduwa limevamiwa na wavuta bangi kumbe watu wa maana bado mpo, sasa naweka kambi jukwaa la intelligence.
Watu wa kariba ya Dotto Rangimoto ndio walinifanya nianze kulipuuza hili jukwaa kumbe watu wenye ubongo ambao haujaathiriwa na Shisha bado mpo huku.
Ubarikiwe sana.Hahahahah! Shukrani Mkuu..
Bila shaka nitakuweka kwenye taglist
Hapana Mkuu! Yule ni Joaquín Guzmán maarufu kama 'El Chapo' ni kiongozi wa genge lingine linalotikisa kwa sasa linaitwa Sinaloa Cartel.Sijui mimi ndio sikumbuki vizuri, yule aliyetoroka juzijuzi gerezani na kukamatwa tena si dio Pablo ? Si amepelekwa Marekani ? Au...
Kabisa..Yaani cheche ya moto huchoma msitu
Shukrani! KaribuStory nzuri sana...!!
Pamoja sana Mkuu! Shukrani..Asante mkuu Na heshima kwako pia....nimesoma mpaka mwili unasisimka....shukrani kwako
Notification huwa zinasumbua sometimes!Ajabu, sikuona notification ya Kuwa tagged ingawa umenitag, from the beginning to the end, it's a great story. Big thanks brother
Notification huwa zinasumbua sometimes!
Pamoja sana Mkuu.. Shukrani
Bila shaka Mkuu! Nitafanya hivyoMkuu na mimi usiache kunitag tafadhali... Story imenigusa mpaka nimeamua kuitafuta NARCOS. Nadhan soon ntaipata
Bila shaka Mkuu..Nitashukuru nami nikishirikishwa mkuu
Poa Mkuu! Nitaangalia uwezekano wa hilo..Naiomba hii stori inbox maana nikichukua za humu huwa na vituko kibao mpaka uedit sio leo kumaliza na hii ni ndefu sana