Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Na mimi usinisahau kwenye tag list yako, thread kama hizi huwa zinanibariki sana, leo nimeanza na ya Da vinci na Monalisa ndio nimeingia hii.

Niliacha kupitia jukwaa hili baada ya kunduwa limevamiwa na wavuta bangi kumbe watu wa maana bado mpo, sasa naweka kambi jukwaa la intelligence.

Watu wa kariba ya Dotto Rangimoto ndio walinifanya nianze kulipuuza hili jukwaa kumbe watu wenye ubongo ambao haujaathiriwa na Shisha bado mpo huku.
Hahahahah! Shukrani Mkuu..
Bila shaka nitakuweka kwenye taglist
 
Sijui mimi ndio sikumbuki vizuri, yule aliyetoroka juzijuzi gerezani na kukamatwa tena si dio Pablo ? Si amepelekwa Marekani ? Au...
 
Ajabu, sikuona notification ya Kuwa tagged ingawa umenitag, from the beginning to the end, it's a great story. Big thanks brother
 
Hii ajali ya ndege iliyoua wachezaji wa Timu ya Chapecoense kumbe imetokea milima ya mji ule ule wa Pablo.

20161210_155023.png
 
Naiomba hii stori inbox maana nikichukua za humu huwa na vituko kibao mpaka uedit sio leo kumaliza na hii ni ndefu sana
 
Back
Top Bottom