Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #421
Hahahahah! Shukrani Mkuu..Na mimi usinisahau kwenye tag list yako, thread kama hizi huwa zinanibariki sana, leo nimeanza na ya Da vinci na Monalisa ndio nimeingia hii.
Niliacha kupitia jukwaa hili baada ya kunduwa limevamiwa na wavuta bangi kumbe watu wa maana bado mpo, sasa naweka kambi jukwaa la intelligence.
Watu wa kariba ya Dotto Rangimoto ndio walinifanya nianze kulipuuza hili jukwaa kumbe watu wenye ubongo ambao haujaathiriwa na Shisha bado mpo huku.
Bila shaka nitakuweka kwenye taglist