Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Makala bomba haswa kwa mm nilieangalia narcos se 1
Ningejiunga bt hzo fee my friend am sorry
I gt a lot of fees to pay
 
Hii kitu kuna gazeti nimeiona leo kama ilivyo
 
The bold
uko makini sana makala zako zimehaririwa kwa kiwango cha juu sana katika kusoma makala nyingi wandishi wengi huwa wamechapia sana spelling lakini kwa ww makala ndefu with minimal or no error, hongera sana kamanda
 

The Bold, Sina uhakika na exposure ulionayo kuhusu america ya kusini na Cuba, hua nakusoma saana na hua naona fictions nyingi katika mada zako ila hua nakaa kimya na hua spendi kukuharibia umaarufu wako katika mada zako, kwa kifupi naomba nikuonye napia kua makini saaana hasa unapowataja watu kama akina comandante Fidel Castro katika habari za uongo uliotukuka, sisi tumeishi cuba kwa miaka mingi kiasi tulipata bahati ya kuonana na comandante mubashara na kuongea nae na kuisoma mitazamo na misimamo yake, huko havana, matanzas, santiago, camaguey, las tunas mpaka pinal de rio ambapo kuna bandari wakazi wa huko hawaijui hata harufu ya cocain, Jose martin international airport pamoja na viwanja vingine vya kijeshi vilivyopo, matanzas na jiron kuna ulinzi mkubwa wa majeshi matatu tofauti na kila jeshi likiwa na utaratibu wake wa kufanya kazi na kupokea maelekezo toka kwa wakuu tofauti.
the Bold koma kabisa kuhumuhusisha Fidel Castro Ruz pamoja na kisiwa pendwa cha Cuba na uongo wako wa madawa ya kulevya ili upate sifa zisizo kua na faida yoyote katika jamii.

hasta la victoria siempre, patria o muerte venceremos, viva cuba libre, viva comandante fidel castro, viva comandante amigo Erenesto Che gueavara.
Cuba es nuestra madre, Cuba y comandante castro siempre estan en nuestra ideas y corazon.
hay qe tener mucho respecto cuando tu quere hablar la historia cubana y la historia de nuestra Fidel.
kwa kifupi fidel hakua na roho mbaya na ya unafiki kama unavyotaka kuwaaminisha watu hapa, hivi kweli castro afurahie vijana wa kimarekani wafe au wawe mateja? kama unayoongea yangekua na ukweli sisi tusingeishi maisha ya dhiki na kula wali uliochanganwa na maharage kila siku huku tukifundishwa uzalendo na ujasiri uliotukuka..........
 
The bold
uko makini sana makala zako zimehaririwa kwa kiwango cha juu sana katika kusoma makala nyingi wandishi wengi huwa wamechapia sana spelling lakini kwa ww makala ndefu with minimal or no error, hongera sana kamanda
Shukrani sana mkuu..
 
Kutokana na ubaya wote wa pablo lakini jamaa alikua kichwa balaa bata zote kamaliza na kusumbua serikali juu hawa wa daudi bashite wanaigiza aisee!
 
Napendaga sana kusikia habari kinzani za uzi original kama hivi. Sasa namsubiri mleta UZI akane na hili then sisi tulio nje tuendelee kujifunza. Akikaa kimya nitajua source of his information ni majarida ya USA ambao since miaka ilee ni maadui wa Cuba na Fidel.
 
Duh! Kaaaazii kweli kweli...haya Bruce lee ngoja aje na Jet lee nae aje atetee hoja yake.mi natazama tu
 

mimi nitatoa facts na uhalisia wa fidel pamoja na cuba kwakua sijaisoma au kuisikia tu bali nimeiishi na mpaka sasa asilimia 90 ya maisha yangu yamejengwa kwa itikadi na mafundisho ya ki cuba waliofika huko wanaelewa namaanisha nini, las negras banderas kule vedado ampapo kuna bendera nyeusi 1000 nini tulikua tunafanya in el diaz de ocutubre.......
naomba dunia itambue wamarekani ni washenzi na waongo saaana kwa ujumla ni wanafiki na wao ndio chanzo cha matatizo mengi duniani.
 
Hapo mwisho ulipomalizia nina kubaliana na wewe kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…