Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

nice article for sure....big up sana the bold, unajua mpaka basi....na hiyo narcos nimeshaishusha hapa naenda kuanza iangalia this weekend.
 

Duh! Kaaaazii kweli kweli...haya Bruce lee ngoja aje na Jet lee nae aje atetee hoja yake.mi natazama tu
ati "..The Bold koma kabisa.."


Listen guys... got no time kutukanana na watu humu mitandaoni.. Hatujuani that's why namuheshimu kila mtu na huwezi kunikuta nimetukana hata siku moja huu Mwaka wa nne niko JF..

Kulikuwa na uwezo wa kuwasilisha hoja zake kwa lugha ya staha tu tukajadili, kwa kusahihisha au kujazia nyama pale anapihisi pamepwaya.. Kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia lugha ya kuudhi??


Let's do this..

Huyo ameishi Cuba toka utotoni, mimi hata Chalinze sijawahi kufika..
Huyo anamujua Castro inside out, mimi hata jina simjui..
Huyo ni msomi wa dar'ja la juu, mimi nimeishia la saba.!!


Problem solved.!! Let's move on with life.


Mbarikiwe sana..
 
k
kwanini uudanganye umma kwa majarida na taarifa chonganishi na za uzushi wa wamarekani?
 
T

ndugu The Bold kama unavyodai kua huu ni mwaka wako wa 4 mimi wa nane na pia kama nilivyosema awali sina nawala sihitaji malumbano na wewe ila umenikera saana na pia umeniharibia kabisa hisia zangu baada ya kumtaja comandante kirahisirahisi na kumuhusisha na wauza unga... hivi unamjua castro vizuri? narudia tena endelea kuburudisha umma kwa kuwapa story zako na kutengeneza jina lako ili uonekane wewe upo juu na ni mjuvi wa mengi ila kwa kifupi tu ngoja nikusaidie kitu kimoja katika maisha yako lazima ujifunze kua kama umeamua kua muongo basi jitahidi kua na kumbukumbu nzuri,,,, wewe umemuongelea escober huku ukijiaminisha kua unamjua saana na pia unaijua historia ya maisha yake nje ndani, pia wewe huyohuyo umeelezea kua bwana huyo alikua na jeshi lake pamoja na wanajeshi wa anga waliopata mafunzo libya ila kwa vile umetafsiri hiyo makala bila hata kutumia ubongo wako kufikiria nawewe ukasema kua bwana huyo alifungwa gerezani na pia umeshindwa kuelezea jeshi lake lilikua wapi wakati anafungwa na kuuwawa? kama alikua ana mahusiano na comandante fidel je ilikuaje fidel asimpe msaada pamoja na ulinzi wa ziada kama ndoto yake ilikua kuwaona vijana wa kimarekani wakiteketea kwa unga wa escober?

the bold koma kabisa na usirudie teeeeeena kumtajataja fidel castro ruz katika makala zako ili ufutie watu wajiunge katika grupu lako la whatsapp ili uweze kujitengenezea pesa... kua mkweli na ukweli utakuweka huru.
 
k

kwanini uudanganye umma kwa majarida na taarifa chonganishi na za uzushi wa wamarekani?
Mkuu ungesahihisha alipokosea. Au ungeanzisha uzi mwingine utuelimishe kile unachokijua na kuamini kuwa ndio usahihi. Vinginevo unatukwaza wengine kwakua hakuna tunachojifunza.
 
The bold huyo jamaa hapo juu achana nae kwanza hana polite language labda ungemfikiria
Pia hata kama unacopy sio kila mtu anaweza kucopy na kufanya good presentation kama ww unastahili sifa mkuu
Kama hii story si ya kweli anasema umecopy sasa kosa lako liko wap?na source anasema anazo?si aanze kwanza na hizo source kama ni New York times ama American magazine atajua mwenyewe
Endelea kushusha vitu kisha chini mwekee source akawataze kwanza hao anawaoita wazush
Pia hata kama kitu hakipendi atumie lugha nzuri anaazaje kukuambia .....eti...ukome..
Nahisi hajui kwa mini unaitwa The bold
Akawakataze kwanza wamarekani sababu si wewe tu labda hiyo stori imeshacopiwa na watu dunia nzima?atakataza wangap?
 
wewe unaemjaza ujinga hujui kama tukiamua kua serious huyu the bold anaweza akaingia kwenye matatizo makubwa sana ni rahisi sana kutafsiri habari yake kwa lugha ya cuba na kumpatia balozi wa cuba tanzania pia kumfungulia kesi na kumuomba atoe ushahidi wa maelezo yake kua Mzee Castro alishiriki katika biashara ya mihadarati, naomba muwe makini najua wengi wenu hamjui castro kaifanyia mangapi nchi yetu pamoja na afrika kwa ujumla nashauri tusitumie vibaya huu uhuru wa mitandao.
 
acha mikwara ya kipuuzi wewe fidel castro kawafanya Wacuba kuwa masikini wa kutupwa kwa sera zake za kipumbavu nchi masikini wacuba wengi wameikimbia cuba kwa ajili ya upuuzi wa Fidel
 
Wacuba wengi Fidel Casrto alivyokufa walishangilia wewe mkimbizi unajifanya una uchungu nae sana Fidel alikuwa muuaji na dicteta mkubwa amesababisha mateso sana kwa wacuba
 
Wacuba wengi Fidel Casrto alivyokufa walishangilia wewe mkimbizi unajifanya una uchungu nae sana Fidel alikuwa muuaji na dicteta mkubwa amesababisha mateso sana kwa wacuba
wa cuba wengi wangapi? hata libya media zilidanganya kua wengi walifurahi nini kinENDELEA HUKO? HISTORIA YA MAPINDUZI YA CUBA unaijua vizuri? dhiki walizopata wa cuba kisa kibaraka wa wamarekani kapinduiwa mnazijua? kazi alioifanya fidel kuhakikisha kua kila mcuba anapata elim ya kiwango chochote bure n Matibabu bure huku wakiwa wamewekewa vikwazo vya kiuchumi ni kazi ndogo? jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza endeleeni kudanganyana tu
 
acha mikwara ya kipuuzi wewe fidel castro kawafanya Wacuba kuwa masikini wa kutupwa kwa sera zake za kipumbavu nchi masikini wacuba wengi wameikimbia cuba kwa ajili ya upuuzi wa Fidel
upuuzi upi? na sera zipi za kipumbavu? je uhuru wa iraq na libya baada ya saddam na ghadaf upoje?
 
unajua Cuba ni moja ya nchi masikini duniani sababu ya sera za fidel.....Castro muda wote alikuwa anawaza mapinduzi tu huku cuba inazama kwenye tope la umasikini wa kutupwa......mpaka leo cuba watu wengi wanamiliki vigari vi kobe vya kizamani wanaishi kama zama za mawe
 
sababu yako ni mfu na haina mashiko kaka au dada.... unajua Cuba wameishi miaka mingapi huku wakiwa na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na marekani pamoja na washirika wao katika ubepari? twende taratiibu ili tuujue ukweli,,,, sera gani mbaya za fidel za kufanya mapinduzi ndio zimepelekea cuba kua nchi maskini?

pamoja na umaskini wa nchi hiyo lakini iliendelea kuthamini utu na haki za msingi za binadam, pamoja na shida zote na njaa walionayo lakini cuba haikusita kugawana kidogo walichokua nacho na maskini wenzao, leo tuna madaktari bingwa wangapi dunia ya tatu ambao woote wamepata elim hiyo huko cuba tena bure? jamani unafiki mbaya saaana mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
 
1. Jifunze kusoma thread na kuelewa.
2. Ukishaelewa, jitahidi utumie kichwa chako kuchambua mambo.
 
Tangu viroba vikatazwe tanzania naona kuna watu mnazidi kupoteza fahamu.
 
acha mikwara ya kipuuzi wewe fidel castro kawafanya Wacuba kuwa masikini wa kutupwa kwa sera zake za kipumbavu nchi masikini wacuba wengi wameikimbia cuba kwa ajili ya upuuzi wa Fidel
Eti wampe nakala balozi wa cuba kisha wamtafute The Bold, hivi kwanini watanzania tunapenda kupigana mikwara ya kijinga hivi?
 
hivyo vikwazo vya kiuchumi vimetokana na sera za kipumbavu za Fidel Castro......mbona China sio nchi ya kibepari lakini haijawahi kuwekewa vikwazo? castro amewatesa sana Wacuba kwa sera zake za ujamaa wa kipumbavu na kuwaza ujinga ujinnga tu wa mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…